Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 709
- 533
Ndgu nataman ungeshea nasi aina na michanganyo mbalmbal ya vyakula ili kusaidia kupunguza gharama za uendeshaj.......tafadhal mkuuMkuu nakupongeza ; Niongeze tu kwamba kwa mjasiriamali mdogo( anayeanza) banda la kuku wa kienyeji na vifaa vinavyopatikana kwenye mazingira yake anaweza kutumia kama vinavyoonekana kwenye picha zifuatazo.
1. Jengo 2. Mgawanyo ndani ya Banda 3.vifaa vya chakula na maji 4. Mahali pa kulala.
NB: Chakula unaweza kujitengenezea mwenyewe sio lazma dukani.