Kanuni kumi za kuikomboa Tanzania kutoka kwa wakoloni weusi (CCM)

lupeke

Member
May 6, 2012
56
40
KANUNI KUMI ZA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI (CCM)

1. Usiwe msaliti kwa NCHI yako. kuwa MZALENDO

2. Usiwe MVIVU wa kufikiri. Kuwa MDADISI.

3. Usiwe Mwoga, WOGA WAKO NDIYO UMASKINI WAKO.

4. Toa maoni tupate KATIBA bora. Na hakikisha unajiandikisha kwenye DAFTARI LA WAPIGA KURA.

5. Usitoe wala Kupokea RUSHWA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI.

6. Usiwe MROHO wa MADARAKA kama LOWASA na CUF.

7. Tambua WAJIBU na HAKI zako. Hasa ya KUPIGA KURA.

8. Usiwasikilize WAGOMBEA na VIONGOZI wa CCM, Maana WATAKULAGHAI.

9. Usiwe na TAMAA ya vitu kama KANGA, KOFIA, TSHERT, VILEMBA na UBWABWA wa CCM.

10. (Amri Kuu) Usimpigie KURA mgombea Yeyote wa CCM katika UCHAGUZI wowote ule kuanzia MWENYEKITI wa KIJIJI/MTAA, DIWANI, MBUNGE na RAIS.

MUNGU WAFUNGUE WATANZNIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mkuu umefanya kazi nzuri ya kuelimisha juu ya uraia. Kama waTZ tukifuata somo hilo tuna uhakika ccm haina pa kutawala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom