Kanumba utanyonya wangapi kwenye movie??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Ndugu yangu kanumba najua uko so handsome kama vidosho
wanvyojigamba jana nimeangalia movie moja nikaona kama ya sita
kwangu unanyonyana na mwanamke ...najiuliza hatakma mnaigiza
awa mabinti awaoni ulizoifgiza ambazo unapigana kisi za midomo na wengine

mmhhhh ...haya yote ni maigizo!!!!
 
Nasikia kuna dada mmoja kwenye zile za kina-Nigeria, waigizaji wa kiume huwa wanamgombania awe kama mke kwa sababu yeye hutoa kabisa - sio maigizo tu! Kanumba umalizia kama yule dada wa Nigeria anavyolimalizia kabisa - mafano yeye na Wema Sepetu mpaka ukawa ugomvi baada ya kupata mwingine!
 
sio wema \wapo wasaidizi lukuki wa wema angalia TBC
SAA 4 huyu bwana hatari kabisa ....yaani tangu waseme ukimwi auko kwenye mate yeye anagawa dozi za mate kama
MATETIST
 
Hata kwenye mate uwezekano wa kuupata upo - kama wote wawili mnavidonda mdomoni!
 
Duh! Jamani!
Si ni maigizo tu...
Ni lazima afanye kweli ili movie ivutie!
Mbona nchi za nje wanafanya mpaka "sex scenes"?
 
Yuko kazini na hiyo ni moja ya sehemu ya kazi yake, sioni ajabu hapo. mbona filam za magharibi hatusemi?
 
Ushauri wa bure, filamu za magharibi wanapima afya zao kabla ya kuingia kwenye uigizaji. Nashauri na wacheza filamu za kibongo wapime afya ili wawe huru kujimwaga katika uigizaji maana inapendeza uigizaji ukifanana na ukweli.
 
Kingosha kinakula denda, hahahaaaaaa Du. Hii kwenye mila yetu haipo kabisa. Ni chagulaga mwana mayu na imetoka.
kanumba-ezekiel.png


Hapa lazima kalimega tu. Ngosha kwa kupenda down :)
kanumba-na-gwantwa-02.jpg
 
Katoka mbali jamani mwache ajidai,kutoka nonihino hadi kuwa supa staa si nchezo,nakumbuka zile ngoma alivyokuwa anazigonga big brother na alipokuwa anacheka bila kuchekeshwa hah hah
 
Ndugu yangu kanumba najua uko so handsome kama vidosho
wanvyojigamba jana nimeangalia movie moja nikaona kama ya sita
kwangu unanyonyana na mwanamke ...najiuliza hatakma mnaigiza
awa mabinti awaoni ulizoifgiza ambazo unapigana kisi za midomo na wengine

mmhhhh ...haya yote ni maigizo!!!!

Dude ni aje? Uko na wivu? Meza nyembe.
 
wakati tunapodhani tunakwenda na wakati,kumbe maskini ya Mungu wakati ndio unakwenda na sisi...yangu macho nasikia ndio staili ya kutanua soko la filamu za bongo eti wajumbe mpoooooooooo???....
 
napata tabu hata kujua hizi sinema zinakuwaga na maudhui gani zaidi ya kuona kama vile zina lengo la kuwauza wasaanii baada ya kuuza mada. Mbaya zaidi nyingi ni pirated maana ukiziangalia unaona kabisa ni translation ya sinema za ki Nigeria, nadhani ingekua vyema hii industry ikapata wawekezaji wakawafundisha hawa warembo wanaojichanua dhana nzima na jinsi gani ya utunzi wa sinema. Sinema ni utamaduni wa watu sasa katika hizi za kwetu sioni kabisa utamaduni wetu uko wapi, bora wakina bi mchawi wale wanaofanya vitu vinavyoitwa maigizo wangepigwa tafu kuyaweka katika sinema tungesema tumepiga hatua hivi vitoto hata havijua vinachotaka. Wema sepetu na international school yote na exposure poor girl ameishia kuwa a big joke, poleni wazazi hii ndio dunia, pigeni magoti muombe mungu amtoe mtoto hilo pepo la kashfa.
 
Ndugu yangu kanumba najua uko so handsome kama vidosho
wanvyojigamba jana nimeangalia movie moja nikaona kama ya sita
kwangu unanyonyana na mwanamke ...najiuliza hatakma mnaigiza
awa mabinti awaoni ulizoifgiza ambazo unapigana kisi za midomo na wengine

mmhhhh ...haya yote ni maigizo!!!!
wivu mwingine bana!
rudi zako india ukabebe box mkuu,
HUNA JIPYA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom