Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
ati kanumba kuolewa na jimama !
Friday, April 4, 2008
Msanii mahiri wa filamu nchini, Steven Kanumba anatarajiwa kurejea tena nchini Marekani kwa kile kilichodaiwa kwenda `kuolewa` na jimama la Kizungu, lililomzidi umri kwa zaidi ya miaka 20.
Mbali na `kuolewa` na jimama hilo pia Kanumba amepewa sharti kubwa la kuukana uraia wa Tanzania na kuchukua ule wa Marekani, mara tu atakapokanyaga katika ardhi ya nchi hiyo.
Akizungumza na gazeti hili, rafiki wa karibu wa Kanumba aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema habari hizo za mcheza filamu huyo kwenda `kuolewa` na jimama ni za kweli hata kama atakanusha.
Rafiki yake huyo alisema, tangu Kanumba aende Marekani mara ya kwanza na kupata jimama hilo, alitaka asirejee kabisa nchini lakini ilibidi amuonye na kumuomba arudi kwanza kuweka mambo sawa na ndiyo aondoke kabisa.
Chanzo hicho kilizidi kutupasha kuwa, akiwa Marekani msanii huyo alikuwa anatimiziwa mahitaji yake na jimama hilo, ambalo linasemekana lina fedha nyingi na za kutosha.
Jamaa alibanwa mno na jimama lake, hakuwa anapata hata muda wa kupumua kwani kila saa mwanamke wake alikuwa anahakikisha hampi nafasi ya kukutana na wasichana wa rika lake.
Ukweli ni kwamba Kanumba hata kabla hajarudi hapa alikuwa tayari kashaolewa na jimama lake na hana hata wiki mbili kuanzia sasa kabla hajarudi huko, alisema mtoa habari kwetu.Ukitaka kujua zaidi kazungumza nini kuhusiana na hilo sakata lake ingia globalpublisherstz.com