Kanumba kuwa mbunge 2015

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Kweli siasa sasa haina mwenyewe. Kanumba naye anataka kuwa mbunge.
 
Akipata huo ubunge mbona madada zetu watakoma!!!!!!!!!!!!!!
 
Asisahau kwenda na script za picha za akina aunt Ezekiel na Irene teh teh teh siku hizi bunge bana lishakuwa kijiwe cha kupatia easy money,bado tutamsikia na Mzee Yusuph mfalme wa mipasho ,baada ya kikao taarabu buure chini ya mheshimiwa mfalme wa taarabu,ah sijui niufiche wapi uso wangu jamani ,si muda mrefu nitaanza kujitambulisha kama mnyasa wa malawi au msumbiji
 
Kweli siasa sasa haina mwenyewe. Kanumba naye anataka kuwa mbunge.

Ubunge tz umegeuka mat**k* kila mtu anataka kuwa nayo. Anyway, nafikiri uchaguzi wa mwaka huu umewahamasisha watu wengi hasa ukizingatia kuna vijana wadogo kibao wamechukua viti, ni vizuri lakini ushindani utaongezeka 2015 na pengine itawapa fursa wananchi kupata viongozi bora.
 
Wa kuteuliw? ..au. Jimbo gani vile atagombea?
Sishangai, afadhali hata ya kanumba kuliko vilaza wetu wenye phd fwwweki!!!
 
Mh!sasa mabadiliko yanakuja!naona wasanii sasa wameona yote yanawezekana baada ya kuona Mr Sugu wa CHADEMA kuwa mbunge!sasa huyu jamaa sijui atagombea jimbo gani na kupitia chama gani?kushindwa au kushinda kwake itategemea mambo matatu ya msingi,nayo ni jimbo atakalaogombea,chama atakachopitia na upepo wa siasa utakavyokuwa wakati huo!
 
Wengi wetu "tunamzidi Kanumba kwa usomi na uwezo wa kisiasa," lakini yeye "anatuzidi kwa courage na uthubutu."
 
Likakuwa bunge la wasanii kama ifuatavyo:kanumba,vicky sugu .............................taja wengine
 
Back
Top Bottom