Kanivunjia simu zangu kwa sababu nisizozijua

yawezekana alikuwa na taarifa zako mapema...nenda karenew line na anza maisha yako.
 
yawezekana alikuwa na taarifa zako kitambo, sema akawa anakuvutia kasi......nenda karenew line na anza maisha yako.
 
duu habari ya hapa pole sana, ni kawaida kwani waswahili husema "nguo ya kuazima haisitiri ------"
 
Last edited by a moderator:
Its a very very nice story, usihahau kutuletea part2 kutuelezea yaliyojiri nyuma ya pazia ( reasons haswaa za kuvunjiwa simu, najua unazo nyingi tu japo umeshindwa kuweka wazi) na pia utujuze yanayoendelea kwasasa baada ya kisanga kilichotokea oficn kwa Mume wa Mtu na wewe kutolala nyumbani kwako. Ila kumbuka, hata km mngejenga ghorofa hewani pamoja, mkawa na kampuni kuuuuubwa hata kuliko Microsoft, huyo bado SI MUMEO, kumbuka kuwa MUME WA MTU SUMU!!ucje ukajidai we ndo MOTHER HOUSE, shauri yako, yatakayokukuta usije ukasema hatukukuonya!!
 
kama mna miaka yote hiyo hajawahi lazima kuna ukweli hujatuambia hapa! hawezi kukurupuka! jipange uje tena!

mkuu naomba unielewe vizuri imefikia hatua hataki me niwe na simu sasa nitafanyaje biashara zangu miradi mingi na simamia nilikuwa na laini yangu hakuitaka ikabidi akanitafutie yy laini akanipa na ndo hii niliyokuwa nikiitumia sasa tena ameivunja ananiambia eti nitumie simu ya mezani hii ni haki mkuu
 
Its a very very nice story, usihahau kutuletea part2 kutuelezea yaliyojiri nyuma ya pazia ( reasons haswaa za kuvunjiwa simu, najua unazo nyingi tu japo umeshindwa kuweka wazi) na pia utujuze yanayoendelea kwasasa baada ya kisanga kilichotokea oficn kwa Mume wa Mtu na wewe kutolala nyumbani kwako. Ila kumbuka, hata km mngejenga ghorofa hewani pamoja, mkawa na kampuni kuuuuubwa hata kuliko Microsoft, huyo bado SI MUMEO, kumbuka kuwa MUME WA MTU SUMU!!ucje ukajidai we ndo MOTHER HOUSE, shauri yako, yatakayokukuta usije ukasema hatukukuonya!!

Natambua mkuu
 
kama huna kosa kabla ya kuja jf...ungeanzia hapa...
kituo+cha+polisi+msigiri.JPG

Mkuu mapenzi na polisi tena hao polisi watanisikiliza kweli
 
Kawaida ya mharifu kujitetea ila hakuna kichaa wa hivyo hapa kwa God. Kisauti chako cha kupiga fix alie piga ndio kimekuponza kama ni kweli huwa unajivinjrii nae (mpiga cm) mwombe tu msamaha kamanda. Na ikibidi mwambie sasa unaolewa, ila endelea kunibunjua tu make mmefanya mengi. Ww huoni hata aibu kuiba!! Duuh hiki kizazi balaaa!!!!
 
Back
Top Bottom