Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Matapeli yamejaa yanakula hela za watu,wakati vyombo vya usalama vipo kwa ajili yao,usitetereke uliopigwa tukio,sio polisi wote wanapenda rushwa nenda ngazi ya juu kwa rpc na yeye ndio atakupa msaada wa moja kwa moja wa kupa mpelelezi atakaye kusaidia usiogope kufuatilia mali yako,na wewe inakuaje unamwamini mtu uliokutana naye mtandaoni,iwe funzo kwako na kwa wengine.
Njoo Polisi au tupatie namba zake za simu pamoja na za account uliyoweka hela then tupe wiki moja tukupatie Mwizi wako
Aisee...nitafute mkuu upate haki yako!
Mkuu naomba kwa dhati kabisa umsaidie huyu jamaa maana naona anadhulumiwa live!
Mfuate PM.
Please volunteer kwa hili.
Block a/c yake ya Barclays mapema kesho asubuhi mengine yatafuata.
CC: LEGE
We police na mahakama zipo,nenda!
Njoo Polisi au tupatie namba zake za simu pamoja na za account uliyoweka hela then tupe wiki moja tukupatie Mwizi wako
kazi yangu ni kudeal na watu kama wewe....nakupa two days uwe umemalizana na jamaa otherwise nitakufundisha kazi!
nipe details zake za bank na cont zake ndugu ntakusaidia
William Vitalis Mkude nimesoma nae Maua Seminary. Kaka Mkude pse mseminari mwenzio nakuomba funika hii kitu fasta. Najua Itakuwa mlipishana mahali. Maliza kaka.
Mrejeshomkuu hakuna mahali tulipishana au hakuna mahali mm nilienda tofauti na yy alivyokuwa ananiagiza nifanye alinambia pesa niweke kwenye acount yake nikaweka akanambia nimuongezee kwenye m pesa nikamwongezea baada ya hapo akaanza story mara yupo songea mara morogoro mm nikawa mpole.
akanambia kashatuma pesa fresh nisubili mzigo wangu.baada kama ya wiki hivi naulizia kule ulikoagizwa mzigo wananambia hakuna pesa iliyotumwa.
kumuuliza yy akadai benk kunamatatizo.
tokea hapo ndio sound zikaanzia sasa.mara yupo south nikipiga kwa namba yangu kaniblock nikitumia namba nyingine fresh mara hapokei.
akakubali kunirudishia pesa zangu hapo ndio ikawa shida anatoa ahadi mwenyewe mpaka sound zikamwishia maana alikuwa anarusha kama nitampigia j3 yy anadai jmosi ananipa pesa ikifika jmosi simpigii namuacha mpaka j3 anakuja na sound pesa benk hakuna sijui check yake imekuaje.
sound zilivuoisha akaamua kukata mawasiliano kabisaa
wakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili.
nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni member wa hum jf ambaye first time alishawahi nisaidia nikawa nimeongea nae akasema haina shida atanisaidia.
jamaa akadai pesa nimtumie kwenye acount ya baclays nikamtumia kiasi cha laki 4 na elfu 40 baada ya kumtumia jioni akadai kuwa rate ya dola imepanda hivyo nimwongezee pesa mm nikamtumia.kwenye m pesa kiasi cha shilingi 50 elfu.matokeo yake baada ya kumtumia pesa akaanza kunikwepa nikimpigia hapokei.
nikimtumia.sms hajibu.
na now kaamua kuni block kabisa.
ushauri wenu wakuu je ni njia gani au ni namna gani naweza zifuata ili nipate haki yangu??.
na je kama nakwenda polisi nandika statement gani??
au ndio niisahau.
najua ww jamaa utapita tu hapa.
kwa kawa
Ahaaaa,kwa nini usimtaje,maana ni mshenziwakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili.
nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni member wa hum jf ambaye first time alishawahi nisaidia nikawa nimeongea nae akasema haina shida atanisaidia.
jamaa akadai pesa nimtumie kwenye acount ya baclays nikamtumia kiasi cha laki 4 na elfu 40 baada ya kumtumia jioni akadai kuwa rate ya dola imepanda hivyo nimwongezee pesa mm nikamtumia.kwenye m pesa kiasi cha shilingi 50 elfu.matokeo yake baada ya kumtumia pesa akaanza kunikwepa nikimpigia hapokei.
nikimtumia.sms hajibu.
na now kaamua kuni block kabisa.
ushauri wenu wakuu je ni njia gani au ni namna gani naweza zifuata ili nipate haki yangu??.
na je kama nakwenda polisi nandika statement gani??
au ndio niisahau.
najua ww jamaa utapita tu hapa.
kwa kawa
Tupe mrejesho, ulifanikiwa?wakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili.
nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni member wa hum jf ambaye first time alishawahi nisaidia nikawa nimeongea nae akasema haina shida atanisaidia.
jamaa akadai pesa nimtumie kwenye acount ya baclays nikamtumia kiasi cha laki 4 na elfu 40 baada ya kumtumia jioni akadai kuwa rate ya dola imepanda hivyo nimwongezee pesa mm nikamtumia.kwenye m pesa kiasi cha shilingi 50 elfu.matokeo yake baada ya kumtumia pesa akaanza kunikwepa nikimpigia hapokei.
nikimtumia.sms hajibu.
na now kaamua kuni block kabisa.
ushauri wenu wakuu je ni njia gani au ni namna gani naweza zifuata ili nipate haki yangu??.
na je kama nakwenda polisi nandika statement gani??
au ndio niisahau.
najua ww jamaa utapita tu hapa.
kwa kawa
Mkuu unatumia njia za kipolisi /kimahakama au njia za kienyeji?Aisee...nitafute mkuu upate haki yako!