Kanisamehe tho anasema kwa sasa things wont be level as before.

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Nawashukuruni sana wanaJF kwa mawazo yenu(Kuhusu post ya "Ndo napigwa chini nini"), kwa kweli yalinijenga n I was ready for anything.
Leo nimeongea naye na kasema amenisamehe, though sio kwamba everything will suddenly be like mwanzon coz she doesn't believe if I wont' mistreat her again.

What should I do to regain her faith in me again? Is calling her most of a time can make her think I care or??
Am planning to fly back home sooner than I planned before so that we can solve this face to face. Is this good idea?
What else should I do to make her believe am for ril? Wenye uzoefu jamani hasa wanawake mnapenda nn sana mfanyiwe ili muappreciate?
 
mfate,ila usimwambie mpe suprise tu,kama unapajua anapoishi msubiri karibu na kwake mwambie nimekuja rasmi kwa ajili yako.kama anakupenda,atafurahi saaaana tu ila kama ana mtu atajikanyagakanyaga,inaonyesha umeoza kwake. usisahau kumnunulia zawadi,kama perfume,au chupi w/ke tunapenda hivyo vitu bila kusahau na lotion ya maana. halafu uje kutupa matokeo. At the end,be careful.
 
ukirudi usisahau kumwomba mchezo uangalie km imeshachakachuliwa au vp.
 
kisukari katoa point nzuri. Long distance will not cut it. Just surprise her, atasahau kila kitu ............. na hizo zawadi kama chupi, lotion na perfume usivisahau, na sio unanua chupi za wazee .. .......... hahah if u know what I ma talkin here ........... kama unaogopa hatavaa g-string it wil make her lough or smile .......... and that is all u need here. To be safe changanya styles sasa hivi kuna holiday package huku ..........:smile: ........... Good luck!
 
Back
Top Bottom