Kanisa nililosali jana na changamoto zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa nililosali jana na changamoto zake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 14, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Jana nilienda kusali kwenye kanisa moja mitaa ya kati.
  Huko mhubiri alikuwa bize kuuponda mchezo wa soka kuwa ni wa kishetani uliotawaliwa na uongo na hila.
  Akasema mchezaji anapompiga chenga mwenzake anakuwa amedanganya, maana anakuwa anamdanganya kuwa anaenda kulia wakati anaenda kushoto.
  Akaendelea kusema wanapoangushana na kuchezeana faulo wanakuwa wanavunja amani na wanafanya uadui.
  Pia akasema wachezaji wanapojiangusha kutafuta penalt wanasema uongo.
  Akatoa kali zaidi kwa kusema fifa na kombe vya dunia viliundwa na shetani mwenyewe na akavileta duniani ili kuwapofusha watu.
  Watu wawe busy na mpira na kumsahau mungu.
  Akawashauri waumini wake waache kabisa kufuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea afrika ya kusini.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duh! Hii kali ni mara yangu ya kwanza kuisikia. Hakika duniani kuna vituko. Huyo bado ana safari ndefu sana ya kulielewa Neno la Mungu. Maana kwa mwendo huo kila kitu kitakuwa ni dhambi na ushetani. Maisha yataenda mbele kweli?
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mhh..Hapo atakuwa anahofia mapato kupungua ktk kipindi hiki cha mwezi mmoja, maana mtu akikesha kuangalia mechi the most likely possibility ni kutokuamka mapema na kwenda kupeleka sadaka kwa 'mpakwa mafuta wa buwana'.

  Ama kwa hakika kila kona wamekava wajasiriamali na wachumia tumboni..! lol
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Nilikiona cha mtema kuni
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  amesahau kumpa kaisari yanayomstahili
   
 6. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Huyu hana upako ni businessman.
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Buji unafanya survey kwenye makanisa?? utaingia mahala ambapo NO EXIT... shauri yako, we test zali tu
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  He he he..askofu kumbe kuna makanisa hayana exit door? makubwa haya!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Bwana ehh, nilikuwa na kiu ya neno la mungu, si ndio nikajikuta najichomeka kusiko faa?
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Mshikaji hilo ni kanisa la nabii tito
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mie hivi vyeo vyao tu ndo naishiwa hamu kabisaaaaaaaaa! Kuna mshikaji alikuwa mwalimu wa kwaya tu huku na kule akapelekwa marekani miezi 3 kurudi nasikia anaitwa APOSTLE mweh!
   
 12. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kama hujui kitu ukikaa kimya watu watahisi kuwa hujui, lakini ukifungua mdomo na kuongea, na ukaongea uongo mtupu basi watu watathibitisha hisia zao kuwa wewe hujui!
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duh, kama ni hivyo basi Messi ataenda Motoni
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Bonge la quot naiazima hii mara moja!
   
 15. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  I dont see anything biblical to support his claims
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Haya makanisa ndio yanayompa Kiranga na Blueray credit.
   
 17. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Yapo ndugu yangu Abdul... Haya makanisa mengi ya siku hizi ni majengo tu kwa nje... ndani ni uozo mtupu...
   
 18. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Pole ndugu yangu... siku zote kumbuka "Bora shetani unayemjua kuliko Malaika Usiyemjua"... Unaweza kwenda sehemu kwa nia njema sana lakini ukitoka unashangaa netiweki imepotea kabisa... (wanakutia kinyaa mpaka thelengeti haipandi tena)...:tea:
   
 19. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Messi na Rhonaldo watakuwa kuni za kuchomea wenzao
   
 20. minda

  minda JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ndg yangu hukwenda kanisani. Huo ulikuwa ukumbi wa devil worshippers. Nao husema "yesu ni bwana", lakini matendo ni tofauti. Rudi tena uchunguze.
   
Loading...