kanisa la walokole tegeta lawaka moto sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kanisa la walokole tegeta lawaka moto sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Mar 19, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wajameni saizi kuna hali mbaya sana ya moshi na moto mkali sana unawaka na kuteketeza kanisa na mpaka saizi magari ya zima moto ayajafika habri zaidi nitazidi kuwapa
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kanisa la walokole Tegeta ndio kanisa gani wewe?
  Eleza maelezo yanayoeleweka!...Tegeta ni kubwa ati!
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  tegeta kwa ndefu hapa huwa kuna kanisa kubwa la walokole liko barabarani na mpaka sasa linateketea kwa moto na na magari ya zima moto ayajatokea mpaka sasa
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Makanisa yote yana majina ya dhehebu husika, kama upo karibu uliza ni dhehebu gani hilo?
   
 5. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni kanisa la Assemblies of God Tegeta, lipokaribu na kituo cha daladala za kwenda Bunju na Mwenge. Hapo kanisani kuna maduka yamezunguuka kanisa lote. Urefu wa paa la kanisa linaongeza uzito wa kuuzima kwa wananchi wenye maji ndani ya ndoo na vibakuli.
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tusubiri kuambiwa chanzo cha moto, isije ikawa ndo ile choma choma ya huko zanzibar
   
 7. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Zimamoto walifanikiwa kufika eneo la tukio saa tatu baada ya tukio la moto

  Sijui kuna tatizo gani kwenye utendaji wa brigade hii muhimu.
   
Loading...