Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

Mjinga ni wewe unayedhani mkristo na muislam ni maadui..

Km wote wanamuabudu Mungu na Mungu wa hawa wote wawili anafundisha upendo.

Shida yako ni nini???ulitaka wakatane mapanga???

We bora ukae nyumbani tu hata kanisani usiende hujajua kwanini unaabudu unapoteza mda
Acha hasira jibu kwa utulivu
 
DINI NAZO NI UNAFIKI MTUPU,HAWA MAAMUMA HUWA WANAWAITA WAKIRISTU MAKAFIRI,LEO KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO WANAPIKIWA NA KULA CHAKULA CHA MAKAFIRI
 
Hivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
 
Hivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
Ndungu hakuna msabato anaekula ngurue wala anaeuza bar,km yupo huyo sio msabato ,au amerudi nyuma kiiman
 
Back
Top Bottom