Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

bernabella

Senior Member
Apr 4, 2021
168
250
(1) Soma hoja zangu hapo juu,labda nikusaidie unaweza kunikalibisha mimi Muisilkmu kuja kwako kula kwa sharti la kwamba mimi ndiyo nitakayechinja hicho kitoweo kwa jina la Mwenyezi Mungu wa haki,hapo hamna tatizo. Lakini siwezi kuja kula kwako kama kitoweo umekichinja wewe.
(2)Hapa ndipo wanapofeli Waisilamu wengi,siwezi kuja Kwako kukuchinjia kitoweo kwa Sherehe zako za kipagani ambazo hazikuamrishwa na Mwenyezi Mungu,kama matambiko,pasaka Christmas na zinginezo. Hata kunikalibisha kula tu,ni haramu
 
bernabella

Senior Member
Apr 4, 2021
168
250
Ahsante bwana nashukulu kwa ufafanuzi wako,elimu ya Dini ya kiisilamu hutolewa bure na tunasisitizwa tusome kwelikweli,Hata Mtume Muhammad(S.W.S) aliambiwa soma kwa jina la mwenyezi Mungu wako,hii elimu ya Madrasa inathamani kubwa sana,sababu inakutia hofu na Mwenyezi Mungu wako
 
Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
135
225
HAO NI WAISLAMU JINA HAO TANGU LINI DINI IKARUHUSU ULE FUTARI ILIYOPIKWA NA MANASWARA

HAO NI WAROHO MUISLAMU ALIYEIJUA DINI YAKE VIZURI HAWEZI KUBALI HUO UPUUZI

SIO KAMA MI NI MCHOCHEZI HAPANA NAIHESHIMU DINI YENU WAKIRSTO NA NAHESHIMU UWEPO WENU HAPO NAJARIBU KUWASEMA WANAOTUHARIBIA DINI PASI KUWA NA ELIMU
Sema wakristo mungu kawatunuku hekima sana, mara nyingi kwenye mijadala kama unakuta waislamu wanaonesha chuki ya waziwazi, hata huko mitaani waislamu wale washika dini haswa, unakuta wanaonesha chuki ya wazi wazi, na mara nyingi hua hawachangamani na wakristo, na hilo nimeloshuhudia sana hata kwenye viwanda... Kama HR atakuwa muislamu, mkiristo kupata kazi ni mpaka wajiridhishe kuwa hakuna muislamu mwenye sifa!! Hili jambo ni pana na wakristo ni vile hawapendi shali, lakini kuna shida taki ya mambo haya!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,149
2,000
HAO NI WAISLAMU JINA HAO TANGU LINI DINI IKARUHUSU ULE FUTARI ILIYOPIKWA NA MANASWARA

HAO NI WAROHO MUISLAMU ALIYEIJUA DINI YAKE VIZURI HAWEZI KUBALI HUO UPUUZI

SIO KAMA MI NI MCHOCHEZI HAPANA NAIHESHIMU DINI YENU WAKIRSTO NA NAHESHIMU UWEPO WENU HAPO NAJARIBU KUWASEMA WANAOTUHARIBIA DINI PASI KUWA NA ELIMU

Mwenyezi Mungu kwenye Qur'an amehalalisha waislamu kula chakula cha Wakiristo na Wayahudi(kwa vyakula ambavyo havijaharamishwa kama vile Nguruwe etc).

Tena amehalalisha chakula cha Waislamu nacho kuwa halali kwao pia.
 
EliHMasi

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
235
250
HAO NI WAISLAMU JINA HAO TANGU LINI DINI IKARUHUSU ULE FUTARI ILIYOPIKWA NA MANASWARA

HAO NI WAROHO MUISLAMU ALIYEIJUA DINI YAKE VIZURI HAWEZI KUBALI HUO UPUUZI

SIO KAMA MI NI MCHOCHEZI HAPANA NAIHESHIMU DINI YENU WAKIRSTO NA NAHESHIMU UWEPO WENU HAPO NAJARIBU KUWASEMA WANAOTUHARIBIA DINI PASI KUWA NA ELIMU
Hizi ni itikadi kali za dini.Hivi unajua Ukristo na Uislam zote zimetoka kwa Ibrahim,wote ni watoto wa Baba mmoja.Wewe ukiwa na chuki ni yako mwenyewe.Musa ambaye muisrael alipotoroka Misri alikimbilia kwa Yethro Kuhani wa mediani ambaye ulikuwa ni uzao wa Ismaili(Ishmaili),Ambaye ni ndugu yake.Isaka alizaa waisrael,Ishamaili alizaa Waarabu.Ibrahim ni baba yao,Isaka na Ishmaeli. Na shangaa sana sisi watu weusi tukiwa na chuki Kali sbb ya dini.
Na Mtume Mohamed SWA alikuwa akiwaita wakristo rafiki zake sbb yeye alikuwa akipigana vita kupingana na ibada ya sanamu uarabuni.Ambayo na wakristo vile vile walikuwa wakipinga ibada ya sanamu.Na wakristo walikuwa ni watu wa Amani.

Kuna kikundi cha Wayahudi kilikuwa kikimpinga ,ndiyo hao akawaita MAYAHUDI.Kikikundi kile kile kilikuwa kikimpinga na Yesu Kristo.Ndiyo kilimshitaki kwenye serikali ya kikoroni kwa wakati huo ya Warumi ndiyo kupelekea kuuwawa msalabani.Yesu alikiita hicho kikundi "Wajiitao wayahudi bali sinagogi la Shetani".

Huwa na shangaa sana ndugu zetu waislamu kuwaita wakristo ni Mayahudi.Mayahudi na Wakristo ni vitu viwili tofauti.Mayahudi hao walikuwa washupavu wa dini walifikia stage mpaka wanapingana na Mungu.
 
Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
4,851

Kuna chuki gani hapo mi nimesema nimekubali uwepo wenu wala sijawaponda na wakiristo ni rafiki zetu tu mi nilikuwa naongelea hao WAROHO kuna vitu wanakosea kwenye funga zao ambavyo ni tofauti na dini
 
Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
4,851
2,000
Sema wakristo mungu kawatunuku hekima sana, mara nyingi kwenye mijadala kama unakuta waislamu wanaonesha chuki ya waziwazi, hata huko mitaani waislamu wale washika dini haswa, unakuta wanaonesha chuki ya wazi wazi, na mara nyingi hua hawachangamani na wakristo, na hilo nimeloshuhudia sana hata kwenye viwanda... Kama HR atakuwa muislamu, mkiristo kupata kazi ni mpaka wajiridhishe kuwa hakuna muislamu mwenye sifa!! Hili jambo ni pana na wakristo ni vile hawapendi shali, lakini kuna shida taki ya mambo haya!
Na sisi wengine waelewa wala hatuna shida na nyinyi kama ambavyo hapo awali nnilivyokubali uwepo wenu na naheshimu dini yenu natunachangamana huko kwenye jamii

Hapo naongelea hao WAROHO bila shaka sjui ndio bakatwa walichokifanya ni kuharibu swaumu zao

Nishasema Hairuhusiwi kufuturishwa tena kanisani na nyie kwa nini mfosi iwe hivyo kwani kuna watakachopungikiwa wasipofuturisha waislamu

Kwa nia njema tu sema utakuja utasema hii ni chuki
 
Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,114
2,000
Wewe kama mimi. Hasira zangu nikisikia hilo neno hazipimiki.
Pamoja sana mkuu, lazima tuwaelimishe kuwa kila kiumbe kilicho umbwa na Mungu kina thamani yake Duniani, hakuna aliye bora zaidi ya mwenzake maana hakuna binadamu aliyewahi kuumba binadamu mwenzake
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,661
2,000
Huyo Kafiri hapo kajisumbua tu, futari haitolewi na naswara ambae haamini Mungu ni mmoja na anamshirikisha Mungu kwa kuamini kuwa wako watatu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom