Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Hahaha wewe unae jielewa twambie ukristo umeupata wa kuwa ni dini
Uislam ulitengenezwa na Rumi jifunze ipo siku utajua
Poleni sanaaaaaaa et Uislam ulianzishwa na Warumi teh teh Unahisi waweza mpotesha muislam? Uislam ulkuwepo kabla ya kuumbwa dunia...Kwan kuna pahala kwenye kitabu chako kulpoandkwa ukristo ni dini? au warumi ni dini? pole sana....Yan Uzi wako hauna mashiko kabisa....Mtu kujtia kajtoa na kusema hayo sio kgezo bal ni mipango ya kujarbu kuwapotosha watu ila uzuri waislam huwa hawateteleki na iman yao kazi ipo kwenu mnaomvaaa brayan deackon ...Kama kupotoka mlishapotoka miaka mingi na masanamu yetu acha sie tuendeleee na yetu...kama ulnunuliwa MB za bure mwambie akuongeee mashiko
 
Tumsamehe tuu Naona alileta hii mada wakati viroba havijapigwa marufuku ..Naamini kwa Sasa akileta mada ingine itakua nzuri
Mkuu ni ukweli situmii kilevi na stakuja tumia
Rumi ndie aliyetengeneza uslam ili kuongeza mfarakano wa kuitawala dunia
 
Mkuu pole sana kwa kauli yako naamini siyo kosa lako tatizo ni mazingira ukweli siku zote unabaki kuwa ni ukweli soma kitabu cha Daniel na Ufunuo
Ukimaliza soma historia ya Rumi na Jews na utajifunza kitu

Dunia ina ukweli uliofichwa je unajua kwanini kanisa liliondoa kitabu cha Enoch ktk mlolongo wa vitabu vya biblia?

Unajua ktk zama za Giza kanisa la rumi liliuua mamilioni ya watu ?

Naamini hujui jifunze uujue ukweli

Asante
 
Mkuu pole sana kwa kauli yako naamini siyo kosa lako tatizo ni mazingira ukweli siku zote unabaki kuwa ni ukweli soma kitabu cha Daniel na Ufunuo
Ukimaliza soma historia ya Rumi na Jews na utajifunza kitu

Dunia ina ukweli uliofichwa je unajua kwanini kanisa liliondoa kitabu cha Enoch ktk mlolongo wa vitabu vya biblia?

Unajua ktk zama za Giza kanisa la rumi liliuua mamilioni ya watu ?

Naamini hujui jifunze uujue ukweli

Asante
Tuambie mara ya mwisho kuhubiri na nabii TITO huko Dodoma
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Waislaamu wooote hawajui hilo isopokuwa wewe bwana impongo usiojua hata kuandika vizuri
 
Tuambie mara ya mwisho kuhubiri na nabii TITO huko Dodoma
Mkuu mimi siyo chizi ndio maana nimekuambia Fanya uchunguzi kama unajitambua utaelewa lakini kama ndio akina nshomile hutojua kitu daima
 
Kama qur an ilitengenezwa na waroma mbona dunia nzima inasomwa sawa sawa?????? Kama ingekuwa imetungwa ingekuwa tofauti tofauti,
Inabidi ukaechini na ujitafakali, wewe ni miongoni wafuasi wa nabii Tito
 
Kama qur an ilitengenezwa na waroma mbona dunia nzima inasomwa sawa sawa?????? Kama ingekuwa imetungwa ingekuwa tofauti tofauti,
Inabidi ukaechini na ujitafakali, wewe ni miongoni wafuasi wa nabii Tito
Mkuu huo ndio ukweli lazima utumie akili za busara kung'amua hili ustumie jazba kaa ufikiri kwa undani zaidi.
Unajua wa Egypt na Iran na waarabu waliabudu nini?
Kwa nini walibadirisha kuabudu walichokiamini miungu yao wakaamua kuabudu Allah wa Muhammad?
Unajua kwanini uislam unamafundisho yaliyo kopiwa kutoka torati ?
 
Hapana sina jazba katika hilo, hebh eleza kwa kina maana halisi ya neno UISLAMU
 
Tofautisha kati ya ukristo na uroman ni kusi na kas
Roman Catholic ndiyo mbadala Rumi empire ktk mwavuli wa haya yote ikiwemo program ya uislam kwanza hakuna dini ya wakristo Bali kuna wafuasi wa Kristo.

Haya yote ISIS , Alshaabab, Bokoharam na yote maasi unayoyaona ni Rumi ndie yupo nyuma ya hili uislam haupo

Hivi unajua maana ya uislam?

Unyenyekevu unaweza kuua watu kuwabaka watoto ukatili wa kila namna.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako, hizi taarifa ni siri. Sasa wewe umezitoa wapi?.

Source yako ni warumi au mtume?
 
Back
Top Bottom