Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Ugumu ni kwako usiyeelewa historia ya Kanisa Katoliki(UKRISTO).

Ukatoliki ni upagani bila hata hofu!. Ungemjua Kristo Yesu, usingediriki hata kutetea ushetani mbele zake. Hakuna mtu anayemjua Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye atasujudia sanamu ya kusubu, ya kuchora ama ya kuumba. Ni wapagani tu ndio huabudu kupitia wafu/mizimu.

Nenda kamtafute Yesu acha ubishi wa kichez angoma hapa. Huna Mungu wala Kwei yake huijui. Maneno yako mengi na ubishhi wa kishabiki havikuokoi na hukumu ya dhambi na havibadilishi ukweli.
 
Acha upotoshaji.....!inasemwa nanukuhu "Nasadiki kwa kanisa katoliki la mitume" wewe hiyo yako umeitoa wapi........?

Hata ukipamba bado mapambo yako ni ushetani. Ukitaka kuonge ana mimi leta maandiko yanayosema Yesu aliagiza watu waamini (wasadiki) katika kanisa katoliki ama kanisa lolote". Kuabudu kupitia wafu, kuombea wafu, kuabudu masanamu, ubatizo wa watoto wadogo. Ushetani mtupu. Huna maandiko, acha ubishi na uondoke mbele yangu.
 
Soma Kitabu Caesar Messiah. The Romam conspiracy to invent Jesus.
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Kuna watu hawajui alafu mbele za watu wanajifanya wanajua...hili Ni tatizo.....huna unachojua kwenye hizi imani zote ulizozungumzia.
 
Nyie ndo wale mnaoabudu mashetani acha kutushawishi na kutuaminisha upuuzi wk we endelea na ibada zko za kishetani ila mwisho wa cku utajuta na uzi wk wakipuuzi
 
ni kwambie tyu huyo mtu anajielewa vizuri tyu tena sana

ispokua anapost kishabiki

uislam sio dini ya kutengenezwa kama ulivyo uktisto ndo maana katika quran huwezi kuta mikanganyiko kama ilivyo katika biblia

ni dhaili kwamba kilicho tungwa na binadamu lazima kitakua na kasolo nyingi tu

mfano

biblia imesema yesu ni mwana wa myngu

biblia hiyo hiyo ikasema yesu mungu

biblia hiyo hiyo ikasema yesu ni mtu

while katika quran

waadhiri wa kikristo wanaumiza vichwa mpaka leo

ispokua tu wanaakazia vitu visivyo na msingi

kwamba sijui mtume alioa binti wa miaka sita(although its true)

kwamba mtume kasambaza uislam kwa vita

na mambo mengi

anaacha kumjua Paulo ambaye ndiye aliye uanzisha ukristo

kwani ni ukweli uliodhahili kua yesu hakuwai kuingia kanisani ila aliingia katika masinagogi (ukitakakujua ni nn fungua nyuma ya bible)

sasa mi nikwambie tu kua kuna vitu vingi vya kujua kabla ujaamua kupost ujinga kama huu mtandaoni
ilhali hajui kua dini yake ya ukristo ni dini ya kiseng**
na u qoumor

kabisa

someni kwanza kabla hamja kulupuka kupost

hata quran imesema

iqra bismillabika

na mtume kasema itafuteni elimu hata kama iko china
l
mie dini yangu sio iliyoletwa na watu weupe pia mkuu nikuulize huko ndo mnafundishana kutukana ivyo hapo ambapo umeweka nyota hukumalizia. ila sisi ngozi nyeusi sijui tuna laana jamani sijui hebu angalia wenzetu weupe k.v wachina,wajapani,wahindi,wajapni,waarabu,wazungu,wamongolia n.k wana dini zao na tamaduni zao kama majina yao ya asilia pia vyakula vyao,mavazi yao, hata majina yao ya kiasili mfano mzungu ataitwa JOHN ila huwezi kumkuta mwarabu anaitwa john bali ataitwa abdalah, pia huwezi mkuta mjapani ana jina la kizungu,kiarabu au la sehemu yoyote jamani mzungu anavaa suti,mwarabu anavaa kanzu na baibui ila sisi MIAFRIKA utakuta jitu linaitwa ABDALAH,JOHN na alistahili kuitwa labda MASAWE,MKANDARA,MAPUNDA,MWAKENJA AU MUGABE ila mtu mzungu na mwarabu katukamata pabaya anakuambia majina hayo ni ya mizimu unatakiwa uitwe majina yao uwe na dini yao uvae kama wao ule vyakula vyao uongee lugha yao uwe na tabia kama zao mana maisha yetu ya kiafrika ni ya kishenzi tena kipumbavu na hustahili hata kuitwa Haile selasie,museveni au okocha. na tulivyo mijinga miafrika tukakubali kuziacha tamaduni zetu na kufuata za kwao. mfano mzuri hapa bongo: mtu akivaa suti na tie,kanzu na kibalaghashia huku akiitwa DANIEL na MOHAMEDI anajisikia kuwa ndo mtu wa MUNGU pia mtu akiongea english anaonekana kasoma pia hata kinatumika kama silaha ya watu kujilindia kuwaogopesha watu au kutuma ujumbe kwa mhusika kuwa jamaa kasoma.HAPA kuna shida wajanja wameweza kuwaibia hela waafrka walio wajinga hela jamani.mtoto nasare analipa 3m ili tu ajue english naye aonekane kasomesha afu akifika chuo ada ni chini 1.5m anataka serikali ndo imsomeshe tena ndo wa kwanza kulilia mkopo. hata north korea wana mila zao na hawajaweza kuingiza utamaduni wa mwarabu wala wa mzungu. Hii inaniudhi sana eti mbona RAISI wetu haoengei english watu wanatania kuwa hajui english. kujua english sio kipimo cha uweledi , ufanisi kazini au akili nyingi jamani hiyo ni lugha kama lugha zingine kama zilivyo kishona ,kizulu, kinyiramba,kituruki na kimongolia sema tu kimetokea kuenea dunia nzima

MIE NINGEPENDA WAAFRIKA TUWE NA TAMADUNI ZETU WENYEWE KAMA WALIVYO WATU WENGINE IWEJE SIE TUPOTEZE UTAMBULISHO WETU JAMANI. HIZI TAMADUNI ZIMEKUJA KUTUGAWANYA NA KUMALIZA UMOJA WETU KAMA WAAFRIKA.
AFRIKA LAZIMA IUNGANE TUWE KITU KIMOJA . WACHINA WAMEBAKI NA LUGHA NA DINI ZAO NA HAYO MATAIFA MENGINE INA MANA HAO WATAENDA MOTONI AFU MWARABU&MZUNGU NDO WAENDE PEPONI JAMANI.

ISHU WALIOTUFANYIA NI KUSAFISHA UBONGO NA KUWA MWEUPE AFU WAKAPANDIKIZA TAMADUNI ZAO KAMA UNAVYOMTONGOZA MWANAMKE NA ANAAMUA KUKUFUATA WEWE KAMA UNAVYOTAKA MANA MISTARI UMEMPA IMEMUINGIA.

NG'ANG'ANIENI TAMADUNI ZA WANAUME WENGINE AFU ZA KWENU NI ZA MASHETANI NA MIZIMU NA MMEKUBALI NA SIKU MWARABU/MZUNGU AKIJA ANAFUNDISHA KUWA NABII AMESHUSHA MAANDIKO DINI ZETU NDO ZILIKUWA SAHIHI SIE WALIKOSEA KATIKA KUENEZA UKWELI NA TULIVYO MIJINGA TUTAKUBALI WAKIANZA WAO KUZIFUATA.

HICHI KITU KINATUGHARIMU WAAFRIKA MJUE MFANO MHINDI AU MCHINA ANAFUNDISHWA NA TIBA YA ASILI YA MITI YA KWAO ILA LEO HII MWAMBIE KILA MTU HUMU AKUONYESHE MTI MMOJA UNAOTIBU UGONJWA WOWOTE HAKUNA ANAYEJUA ZAIDI YA KUKUAMBIA NI YA KIZAMANI.

SOMETIME HUWA NALIA JAMANI KUONA MWAFRIKA UNAJIDHARAU NA SIJUI NI NANI ATAKUTHAMINI MPAKA WAZUNGU WANATUSHANGAA ETI KWA NN WAAFRIKA TUKIPATA TATIZO TU DOGO TUNALILIA WAZUNGU UTADHANI KAMA WAO NI MUNGU.
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
We ni dini gani?
 
mie dini yangu sio iliyoletwa na watu weupe pia mkuu nikuulize huko ndo mnafundishana kutukana ivyo hapo ambapo umeweka nyota hukumalizia. ila sisi ngozi nyeusi sijui tuna laana jamani sijui hebu angalia wenzetu weupe k.v wachina,wajapani,wahindi,wajapni,waarabu,wazungu,wamongolia n.k wana dini zao na tamaduni zao kama majina yao ya asilia pia vyakula vyao,mavazi yao, hata majina yao ya kiasili mfano mzungu ataitwa JOHN ila huwezi kumkuta mwarabu anaitwa john bali ataitwa abdalah, pia huwezi mkuta mjapani ana jina la kizungu,kiarabu au la sehemu yoyote jamani mzungu anavaa suti,mwarabu anavaa kanzu na baibui ila sisi MIAFRIKA utakuta jitu linaitwa ABDALAH,JOHN na alistahili kuitwa labda MASAWE,MKANDARA,MAPUNDA,MWAKENJA AU MUGABE ila mtu mzungu na mwarabu katukamata pabaya anakuambia majina hayo ni ya mizimu unatakiwa uitwe majina yao uwe na dini yao uvae kama wao ule vyakula vyao uongee lugha yao uwe na tabia kama zao mana maisha yetu ya kiafrika ni ya kishenzi tena kipumbavu na hustahili hata kuitwa Haile selasie,museveni au okocha. na tulivyo mijinga miafrika tukakubali kuziacha tamaduni zetu na kufuata za kwao. mfano mzuri hapa bongo: mtu akivaa suti na tie,kanzu na kibalaghashia huku akiitwa DANIEL na MOHAMEDI anajisikia kuwa ndo mtu wa MUNGU pia mtu akiongea english anaonekana kasoma pia hata kinatumika kama silaha ya watu kujilindia kuwaogopesha watu au kutuma ujumbe kwa mhusika kuwa jamaa kasoma. hata north korea wana mila zao na hawajaweza kuingiza utamaduni wa mwarabu wala wa mzungu. Hii inaniudhi sana eti mbona RAISI wetu haoengei english watu wanatania kuwa hajui english. kujua english sio kipimo cha uweledi , ufanisi kazini au akili nyingi jamani hiyo ni lugha kama lugha zingine kama zilivyo kishona ,kizulu, kiniramba,kituruki na kimongolia sema tu kimetokea kuenea dunia nzima

MIE NINGEPENDA WAAFRIKA TUWE NA TAMADUNI ZETU WENYEWE KAMA WALIVYO WATU WENGINE IWEJE SIE TUPOTEZE UTAMBULISHO WETU JAMANI. HIZI TAMADUNI ZIMEKUJA KUTUGAWANYA NA KUMALIZA UMOJA WETU KAMA WAAFRIKA.
AFRIKA LAZIMA IUNGANE TUWE KITU KIMOJA . WACHINA WAMEBAKI NA LUGHA NA DINI ZAO NA HAYO MATAIFA MENGINE INA MANA HAO WATAENDA MOTONI AFU MWARABU&MZUNGU NDO WAENDE PEPONI JAMANI.

ISHU WALIOTUFANYIA NI KUSAFISHA UBONGO NA KUWA MWEUPE AFU WAKAPANDIKIZA TAMADUNI ZAO KAMA UNAVYOMTONGOZA MWANAMKE NA ANAAMUA KUKUFUATA WEWE KAMA UNAVYOTAKA MANA MISTARI UMEMPA IMEMUINGIA.

NG'ANG'ANIENI TAMADUNI ZA WANAUME WENGINE AFU ZA KWENU NI ZA MASHETANI NA MIZIMU NA MMEKUBALI NA SIKU MWARABU/MZUNGU AKIJA ANAFUNDISHA KUWA NABII AMESHUSHA MAANDIKO DINI ZETU NDO ZILIKUWA SAHIHI SIE WALIKOSEA KATIKA KUENEZA UKWELI NA TULIVYO MIJINGA TUTAKUBALI WAKIANZA WAO KUZIFUATA.

HICHI KITU KINATUGHARIMU WAAFRIKA MJUE MFANO MHINDI AU MCHINA ANAFUNDISHWA NA TUBA YA ASILI YA MITI YA KWAO ILA LEO HII MWAMBIE KILA MTU HUMU AKUONYESHE MTI MMOJA UNAOTIBU UGONJWA WOWOTE HAKUNA ANAYEJUA ZAIDI YA KUKUAMBIA NI YA KIZAMANI.

SOMETIME HUWA NALIA JAMANI KUONA MWAFRIKA UNAJIDHARAU NA SIJUI NI NANI ATAKUTHAMINI MPAKA WAZUNGU WANATUSHANGAA ETI KWA NN WAAFRIKA TUKIPATA TATIZO TU DOGO TUNALILIA WAZUNGU UTADHANI KAMA WAO NI MUNGU.
Neno
 
unafumuliwa marinda mkuu,huujui uislam wala ukristo kukaa kimya nako ni busara
wewe unayetoa hayo maneno ndiye unayeujua ila tamaduni hizi za waarabu na wazungu sijui zinawapeleka wapi. daa kwa hiyo mkuu ndo uislamu ulivyo kuongea maneno kama hayo.hayo mnafundishwa na shekhe/imamu. inaonekana uarabu huu upo poa sana kwa saivi nipo na imani za kiafrika kidogo naweka na za kijapani ngoja tuone hiyo pepo kama sie ambao hatukuambukizwa uzungu au uarabu kama hatutaiona mana nyie mnaonekana kama mpo sahihi zaidi mkuu pia mko karibu na MUNGU ila sie ni mashetani tutaenda motoni.

wewe umekuwa nani unanihukumu kisa kuuvaa utamaduni wa kiarabu au kizungu ndo uje kunihukumu mkuu haya kama wewe ndo utakuja kuwa unaamua kuwa mie KIRWAY AU MOLLEL niende motoni afu wewe SALUMU NA PETER nendeni peponi na utashangaa mkuu siku hiyo mambo yatakuwa ambavyo sivyo.
huyo mwarabu wako anayekuburuza kwanza kauza watu kama bidhaa na kawafanyia unyama mkubwa waafrika pia mzungu unajua anachotufanyia bado
 
Upendo na amani vitawale milele!
IMG_0270.JPG
 
wanakela coz hakuna wasicho kijua ila wanaongea kishabiki mbuzii hao
wewe umeongea na MUNGU kuwa unachojua ndo cha ukweli mkuu inawezekana umelishwa uwongo na ukakaa katika akili yako. afu mie navyojua nyie wazungu na waarabu mmekalia quraan na Bible pekee ila rejea nyingine hamzisomi wengi wenu.mnamezeshwa na kukaririshwa na kuaminishwa na kufundishwa kuwa wale ni mashetani mafundisho yao sio mazuri na mnabaki kutukanana nyie mnakuwa hamna tofauti kama ccm na cdm mana wengine wana mahaba na tamaduni za waume zenu waarabu na wazungu waliotokea kuwateka akili mpaka majina yenu ya asilia mmeyakataa ila mkaona ya kwao ndo dili.

poleni sana
 
Back
Top Bottom