Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
mleta mada utakua unagongwa na mashetani na bila shaka utakua na msambwanda mubashara kama wa masogange....ckatai ww kutoa maon yko lakin kama una hata chembe ya usomi ungetakiwa uambatanishe na source japo hata ukiweka source pua haitosh kuthibitisha ukweli ni lazma uje kwa mwandish je ni nan hapa nina maana usijekutarajia mwandish shehe ausifie ukristo au mwandish padre ausifie uislam kwa hyo kuna process ndefu ili kufaham ukweli wa mambo jarib kuwaona philosophers watakufanya uwe critical thinker kabla ya kuleta huu urojo wako kwenye screen
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
KAMA HIYO NDIYO PROPAGANDA YENU MPYA ILI KUU DIDIMIZA UISLAMU BASIMECHEMKA KWA TAARIFA YAKO FUPI TU NI KWAMBA UIALAMU ULIKUWAKO HATA KABLA YA MUHAMMAD,

UTHIBITISHO

Qur 22:78 @"......YEYE MWENYEZI MUNGU ALIKWITENI WAISLAMU TANGU (KATIKA VITABU VYA ZAMANI) HUKO. NA KATIKA QURAN HII PIA (AMEWAITA JINA HILO)....."@

PIA KTK HII QURAN HAKUNA MTU AWEZAYE KUONGEZA MANENO YAKE sAKAFANIKIWA KWANI INALINDWA NA ALLAH

QUR 41:42 @"HAITAKIFIKIA BATILI (KITABU HIKI) TOKAMBELE YAKE WALA NYUMA YAKE. KIME TEREMSHWA NA MWENYE HEKIMA AHIMIDIWAYE"@
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Quran HAIJAACHA KITU KAKA, DINI NI MOJA TU NAYO NI UISLAMU.

SOMA HAPA UPATE KUJUA NN CHANZO XHA HIZO DINI NYINGINE

QUR 2:213
@"WATU WOTE WALIKIWA NA DINI MOJA (YA HAKI) (KISHA WAKAHITILAFIANA). BASI MWENYEZI MUNGU AKAWALETA MANABII WATOAO HABARI NJEMA NA WAONYAO.

NA PAMOJA NAO AKAWATEREMSHIA VITABU VILOVYO SHIKAMANA NA HAKI ILI VIHUKUMU BAINA YA WATU KWA YALE WALIYO KHITALIFIANA, NA HAWAKUHITALIFIANA KATIKA HAYO ILA WALE WALIOPEWA VITABU HIVYO BAADA YA KUWAFIKIA HOJA ZILIZO WAZI, KWASABABU YA UHASIDI (ULIOKUWA) BAINA YAO.

NDIPO MWENYEZI MUNGU AKAWAONGOZA WALIO AMINI KWENDEA HAKI KATIKA YALE WALIYO KHITALIFIANA, KWA IDHINI YAKE. NA MWENYEZI MUNGU HUMUONGOA AMTAKAYE KWENDEA NJIA ILIYO NYOOKA"@

DINI YA HAKI HAPA MAANA YAKE NI UISLAMU

QUR 3:19 "BILA YA SHAKA DINI YA (HAKI) MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAMU"

KAKA HUU NDIO UKWELI HIZO NYINGINE NI PROPAGANDA TU
 
uko sahihi mkuu quran iliandikwa kwa msaada wa jesuits wale ndo waandishi wa kitabu hicho na sio kama waislam wanavodai ilishushwa
HAHAHAAAA WEWE PAMOJA NA HUYO MLETA MADA MSOME HAPA

QUR 6:120 @".....NA HAKIKA WENGI WANAOPOTEZA (WENGINE) KWA MATAMANIO YAO BILA YA KUWA NA ILIMU. BILA SHAKA MOLA WAKO ANAWAJUA VYEMA WALE WARUKAO MIPAKA

PIA QUR HAIKUANDIKWA NA HAO WAZUSHI WENU.
ALIYEITEREMSHA QURAN NI HUYU HAPA

QUR 16:102 @" SEMA : ROHO MTAKTIFU (YAANI JIBRILI) AMEITEREMSHA KUTOKA KWA MOLA WAKO KWA HAKI ILI KUWATHUBUTISHA WALIO AMINI, NA KUWA UONGOFU NA HABARI NJEMA KWA WALIO SILIMU"@

HUYU ROHO MTAKATIFU NI MALAIKA, HVYO QURAN IMETEREMSHWA NA MALAIKA WALA SIYO MAJESUITS
 
jibril sio Roho Mtakatifu

Sent from my GT-I9260 using JamiiForums mobile app
 
Roho Mtakatifu sio malaika hata kidogo maana malaika wameumbwa yeye hajaumbwa

Sent from my GT-I9260 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ukweli mtupu Mimi nimekulia Roman Catholic na kusomeshwa na Roman Catholic naujua ukweli wote nyuma ya pazia
Acha kujishuhudisha uongo wewe. Kwahyo nawe ulishuhudia kuwa uislamu umeanzishwa na majesuit??

Au ndio propaganda mpya mliyo lishwa ya kutoka kwenye UISLAMU NI UGAID TO UISLAM NI UJESUIT??

HAKIKA KADRI MNAVYOZID KUPAPAMBANA NA UISLAMU, BASI NDIVYO NAO UNAZID KUWA JUU KILA KUKICHA WATU WANASLIMU HUKO ULAYA
 
MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE, SHIKA IMANI YAKO NISHIKE IMANI YANGU, TUTAKUTANA MBELE ZA MUNGU MAANA YEYE NDIE HAKI NA KWELI. Allahu Akbar.
 
Huyu nahisi ni bwana mdogo flani kamaliza form four mwaka jana sasa matokeo yakawa yametoka na kapiga four ya 35 sasa kaamua na yeye aje jf maana hata uandishi wake tu unaonekana ni wa ki form four failure kabisa , its shame kwa kweli
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Sijakuelewa hata punje.
Naona umereta porojo tu.
 
Mkuu Ubatizo ni husafiwa roho kupokea utukufu wa Mungu ili uwe mfuasi kweli wa kristo ni upatanisho pokeo la roho mtakatifu roho ya utukufu wa Mungu kuongoza maisha yako ni ukubari kumpokea kristo ktk maisha yako.
Mkuu, Uislam ni Dini iliyoanzishwa na WA Rumi kwa mntadhari (mkitadha) wa kuzuia sekeseke la Mataifa kujitenga na mafundisho ya uongo ya wa Rumi
Uislam ulianzishwa na Rumi ili uenee kote na kuwatisha, kuwaadhibu watu walio tofauti na Uislam ili sheria za kanisa la Rumi zionekane mfano bora na miungu ya Rumi iabudiwe na watawale Dunia.
Ndio maana Uislam uli copy & paste sheria za torati kuua , kukata viganja, kupiga mawe n.k
Tatizo elimu huna wewe ni kama mkia wambuzi unasimama tu..haufichi mkundu wala haufukuzi Nzi..
Nkikuuliza swali moja tu LA kutoka Humo Humo ktk biblia au taurat unaweza kulijibu????? Half unasema wailam wali copy na kupest
 
Ninacho kuuliza ni kwani WARUMI waliwahi kuitawala MAKA na MADINA(aliko zaliwa na kufia Muhammad s.a.w)? ukishindwa kujibu wewe mjinga
 
Aelius Gallus aliingia Yathrib(Mecca kwa sasa),mwaka 26 BC,aliingia na jeshi la 10000,lakini walipata maradhi askari hawa,na kufariki mfululizo,ikabidi aondoke arudi Misri.Historia hiyo iliandikwa na Theodor Mommsen.Kwa hiyo Warumi hawakuwahi kutawala Mecca wala Madina.
Huyu Aelius,ndio alikuwa Prefect(kwa wanavyoita Warumi,kama kusema Gavana kwa Waingereza).
Ukatholiki(sio Roman catholic) ulianza mashariki ya kati ,ukiwa ni Coptic Catholic Church na Orthodox Catholic,hawa ni tofauti kabisa na Roman Catholic.
Roman Catholic ilianza 50 AD,Paul akawatembelea Roma 63 AD.
Utawala wa kiislamu wa Ottoman Epire ndio ulitawala nchi za ulaya kuanzia 661-750 CE(ilikuwa ni Empire kubwa sana katika kipindi cha Medieval World).Ilimaliza utawala wake katika Uturuki kwenye mwaka 1922.
Soma Ummayad Empire (ambao pia ni utawala wa kiislamu)
Mwandishi:Andrew Marsham.
Kwa hiyo waroma walipoingia na mpaka kuondoka Yathrib,ilikuwa ni mda mfupi sana.Na Mtume Muhammad,alikuw hajazaliwa na ilikuwa ikiitwa Yathrib sio Madina.Na kwa jumla ikiitwa Hijaz.
Kwa hiyo Mtume Muhammad,alikuta Mecca,Coptic Catholic na Orthodox Catholic sio Roman Catholic,ni tofauti kabisa.Coptic catholic na Orthodox Catholic wapo mpaka katika nchi za mashariki ya kati.Ni wakristo waliotofauti sana na Roman Catholic.
 
hizi facts anatoa kulingana na ndoto zake zilivyomtuma, leo akiamka kaota hivi anakuja kuandika humu JF!!!!,
ahurumiwe tuu maana hakuna jinsi!!!!!!
 
Back
Top Bottom