Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
One among the weakest conspiracy I've ever seen.....hoja dhaifu sana hii haistaiki hata kujibiwa....baki na ujinga wako!
 
The start of Islam is marked in the year 610, following the first revelation to the prophet Muhammad at the age of 40.
Muhammad and his followers spread the teachings of Islam throughout the Arabian peninsula.
Soon after the death of the prophet Muhammad, there were military expeditions, called "futuhat," or literally "openings," into what is now Egypt and other parts of North Africa.

In other parts of the world, Islam spread through trade and commerce. The following is a brief timeline that highlights some of the major occurrences in Islam's development, as well as the geographical spread of Islam to some of the countries featured in the film.

Hii Dini ya Juzi juzi tu inasumbua sana watu, Kama baadhi ya watoto wa miaka ya 2000.
Basi ulivyoandika kingereza ukaona una maarifa!....stupidity!

Hoja dhaifu sana na wallahi tunawaacha na ujinga wenu!
 
Sijaandika mimi nimenukuu toka Google na mmeandika wenyewe.

Alaf mbona mna jazba sana na vitu mnavyo andika wenyewe ?

Ficheni basi ili watu wengine wasione mlicho andika.
Mnataka hata kuuwa mtu akisoma tu na kuyapest mahali maandiko yenu.

Mimi nimenukuu tu Mjomba wacha Jazba.
Sasa hivi nitaendelea kuandika humu mlivyoandika.
Hadi mseme ni kwanini mnaficha watu wasione walivyo andika Waarabu waislamu wa wakati wa Muhamadi.

Kama hamtaki tuone mnavyo abudu ificheni dini yeni kama wanavyoficha Freemasoni.

Ila mkiileta Dini yenu kwa Jamii ni lazima tuisome mlivyoandika na kujiridhisha.
Lazima tuihoji maana watakao silimu ni watoto wetu.
Lazima tuihoji kwa upole na ukali ili tujiridhishe kama ni Dini salama kwa kizazi chetu.
Na kuuliza maswali yote tunayo hitaji.
Acheni kutisha watu na hukumu zenu za ovyo mkikosolewa au kuulizwa.

La muwaige Freemasoni. Mfiche mambo yenu

Waarabu ndio wanaomdhalilisha Mtume wao Muhammadi kwa kuandika machafu yake mengi sana kwenye Hadithi zake alizokuwa akiwasimulia na kuwatendea Waarabu wenzake wa Maka na Madina.
Sio mimi.

Machafu yake ambayo ukiyabandika hapa unaonekana una chuki na Dini.

Hizo Jazba na ukali wa kupigania Dini, tunajua ni njia tu za kuficha fedheha za Mtume wenu kwa nguvu na vitisho.
 
Sina jazba! ila conspiracy nyingine ni za kitoto sana mwana jf mwenzangu!

Afu pili mwana jf mwenzangu Google sio sehemu ambayo kwamba unaweza kusimama nayo kama grounding reference kumbuka kila mmoja anaweza aka upload kule! Kumbuka Google ni kama dalali anakufikisha kwenye nyumba ila vitimbi vya huo mji kamwe dalali hawezi jua, kadhalika Google pia hawezi kujua accreditation za author aliyweka iko kitu katika servers zao za Google, hivyo ni jukumu lako wewe mtafutaji taarifa kuangalia je source ni trusted one! Au unaiamini wewe kwa sababu imekupa maudhui yanayokufurahisha

Tatu hizo ni conspiracy ndugu yangu kuja kwa uislam miaka 600 baada ya yesu haimanishi ni man made religion kwa sababu hata injili na yesu mwenyewe wamekuja maika 4000 na zaidi baada ya taurati lakini mbona twaviamini???

Mbona timotheo haku interact hata na yesu enzi za maisha yake lakini mnamuaini huwezi kuona Mimi kama muislam naweza tengeneza logic conspiracy mbaya kutokamana na timotheo au Paulo na ikaonekana kama kweli kumbe uongo maana hata Paulo kumbuka hakuwa ni katika wanafunzi wa masihi hivyo someone can create a conspiracy about him na ikaonekana ni kweli maana kumbuka logic inaweza kuwa uongo au ukweli

Mathematically kama mawingu yatakuwepo mvua itanyesha hiyo ni logic lakini sio kweli kila wingu likiwepo basi mvua itanyesha!

Kwahiyo logic yaweza tumika vibaya pia ndugu yangu maana hata wewe au Mimi Nina imani twaweza ambiwa tutengeneze conspiracy mbaya juu ya jambo flani au kitu flani na tukaweza vizuri haswa! Maana ni kucheza tu na logic kuhakikisha logically the scenario becomes true! Kama umesoma advanced math bilashaka tutakuwa twaelewana vizuri sana boss...

Basi penye kuelimishana binafsi nipo ladhi kuelimishwa anytime na kujadilaiana ila tu huwa spendi mabishano.....karibu boss if you have something to say!
 
Mngetumia huo ubishi kujadiri kuboresha kilimo cha umwagiliaji na mabwawa ya samaki mgekuwa mbali
 
Kapitie nondo zako vizuri ndio uwe unaanzisha uzi wa kupotosha watu.....kosa dogo ulilolifanya kuonesha hukielewi unachokiandika ni tafsiri ya Roman Catholic sio Kanisa la rumi.... Siku nyingine ukitaka kuwadanganya wanaojua zaidi yako jipange sana
Ahahaha hacha kusema tu mprove wrong kwa hoja na si kwamaneno mepesi na kujiinua eti unajua tuoneshe unachojua mpendwa.
 
Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)
Na Ismail mtoto wa Ibrahimu tunayeambiwa ni mtoto wa Mama mdogo unamzungumziaje katika hili?
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Nimesoma nikafika hapo nikaacha kwamba warumi walikua na uwezo wa kumpa mtu uwezo wa mungu jua?Uwongo mtupu
 
Source ya huu utumbo iko wapi maskini Sasa Roma dini yao tuu haileweki hata kwenye ukristo haimo kwenye uislam na uyahudi haimo kwenye Freemason labda kidogo Sasa hata kitabu Chao hakiko stable Sasa hili dude la Islam wataliweza kweli
 
Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Nimesoma nikafika hapo nikaacha kwamba warumi walikua na uwezo wa kumpa mtu uwezo wa mungu jua?Uwongo mtupu
Wewe ni mfia dini hauwezi kuelewa
 
Wala sikushangai nnajuwa ni shule uliyoenda ndiyo ilikusomesha ujinga.

You are simply an uneducated fool from an uneducated school.
[QUOTE="kimsboy, post: 45604700,

Ukijua UKWELI, utawekwa huru.

Utawala wa Rumi walijitahidi kuzuia INJILI isihubiriwe, waliposhindwa, wakatimia Hila kuanzisha Catholic na baadae uislamu, wale Jersuit ukiwajua vizuri hutobaki ulivyo.

Nilipojua UKWELI huo, nawatazama waislamu kama ndugu zangu kabisa.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Back
Top Bottom