Kutinginya86
Member
- Nov 7, 2014
- 85
- 51
[/QUOTE]Mkuu kwema? Kanisa Katoliki Ni taasisi yenye Ueledi wa kutukuka.Ina Watu walioeledika ipasavyo Na Kwa mawanda yote.Ina Watu waliojikomeleza kwenye uwanja wa masuala ya Siasa,Uchumi, tekinolojia na kila nyanja ya maisha.Hata Utabibu wapo huko kweli kweli.Ndio Maana Uzi humu Jana uliwekwa ukiongelea mintarafu mambo ya imani juu ya utafiti wa Kisayansi uliofanywa Na Kanisa juu ya Ubovu wa Kondomu katika kudhibiti maambukizi ya VVU.Sasa suala la Siasa au Utawala Sio Dogma.Sio fundisho la kiimani.Na kama Sio fundisho la kiimani Sio Lazima Kanisa liiweke kama sehemu ya Litrujia.Kama umewahi kuona Na kusikia likionya Kwa njia Hii au ile Wakati wa uawala wa JK hiyo haizuii Kanisa kuonya Kwa staili nyingine.Tija Sio njia inayotumika Bali content husika.Wewe unajuaje labda Magufuli anaonywa kimya kimya? Suala Sio Wewe kusikia Serikali ikionywa Bali kama mwananchi unachohitaji Ni mabadiliko yenye Tija.Vile Vile Kanisa linahusika Na mambo ya msingi (issues). Yako mambo Ndio kiini cha uendeshaji utawala.Ukiyakosea hayo Maana yake umepoteza dira ya nchi.Na Hivi Kanisa Mara zote likisema linasemea Dira ya nchi.Suala la vyeti vya Makonda Sio issue na wala Sio Dira ya nchi!
QUOTE="assadsyria3, post: 20466233, member: 150590"]Ukweli hembu Usemwe, bila kutukana wala kumuonea MTU.
Kanisa katoliki ni taasisi ambayo kipindi cha Rais Kikwete ilikuwa Vocal SN.
walitoa waraka,nyaraka Za kitume,miongozo kupinga pale kwa uoni wao walihisi kuna madhaifu.
Tazama!!!!
Magufuli ameshuhudia mwenyewe kuwa aliomba ushauri kwa kadinali Pengo kwakuwa kazi ya uraisi ni Ngumu.
Kwa mapungufu makubwa alioyaonyesha mbn hamjitokezi kama taasisi inayokemea uovu unapoibuka?
Niwakumbushe!
suala la kutoajiri
suala la vyeti feki refer bashite kukimbilia kulia madhahabuni
ugumu WA maisha
fedha Za maafa bukoba
Uhuru WA kujieleza
Uhuru WA kufanya mikutano ya kisiasa.
kudharauliwa mchakato wa katiba ambao hata nyie mlishiriki mpk hapo ulipofikia.
mbn mnakosa moral authority kusema kipindi hiki?
je hapo nyumba hio courage ya kukemea uovu ilitoka wapi Na sasa imeenda wapi?
let us think critically not like idiots
let us think big
Assadsyria3.
Unasema suala la siasa sio Jambo la msingi kwa kanisa .....kauli yako inapendeza masikioni ila cha kushangaza ni kuwa siasa kinakuwa jambo la msingi kwa kanisa pale Presdar anapokuwa wa imani tofauti......ila akiwa from the same house ndio munakumbuka kuwa sio suala la msingi kwa kanisa......
Hata hivyo ni vyema kukumbuka kuwa Serikali haisimamii siasa peke yake bali inasimamia pia ustawi wa wana nchi kwenye afya, elimu, uchumi, nk na ukiangalia vitu alivyoviorordhesha Assadsyria3 kwenye Uzi wake vinagusa hayo maeneo kwa kiasi kikubwa....kwa hiyo ni vyema tuwe wa kweli tuache ushabiki.