Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Naomba nianze kwa kusema kuwa Mimi sio mpumbavu wa kuongozwa na hisia za kidini wala kikabila, kirangi au kiitikadi katika kusema nacho jisikia na ninachokiamini kama kweli.
Hivyo sipendi watu wenye mihemko ya kidini kuchangia huu uzi.
Katika kujitambua kwangu nimegundua kua, ukiachana na migogoro ya kifamilia, migogoro mwingine mkubwa na unaogharimu maisha ya watu ni migogoro ya ardhi.
Naomba kila mtu ajue kuwa "ardhi ni zawadi tuliyopewa na Mungu" ni haki ya kila mtu kumiliki ardhi na kuendesha shughuli zake katika ardhi hii ambayo sote tumepewa na Mungu aliyeisimamisha mbingu bila nguzo.
Hapa nchini kwetu TZ, nimeshuhudia migogoro mingi ya ardhi ikiusishwa na Kanisa katoliki.
Yaani raia wamekuwa wakiingia ktk migogoro ya ardhi na Kanisa katoliki cha kushangaza kwa asilimia zote Kanisa linashinda kesi nimeshuhudia watu wakinyang'anywa ardhi zao eti kisa hawana uwezo wa kushindana na Kanisa. This is unfair!!!!
Naona wanyonge wengi wakinyang'anywa ardhi zao ambazo walipewa kisheria eti kisa inasemekana ni ardhi ya Kanisa.
Waziri wa ardhi ni mtu mwenye hekima sana na ninaamini katika utendaji wako na utendaji wa boss wako muheshimiwa magufuli. Lai yangu kwenu naombeni mpitie upya hati za ardhi zinazomilikiwa na Kanisa ili watu wapewe ardhi wafanye shughuli zao za kila Siku.
Naomba haki itendeke, yasitangalie mambo ya udini. Kumbukeni ardhi ni ya Mungu sio ya Kanisa wala msikiti wala sinagogi.
Kama serikali iliweza kutaifisha mashamba ya wafanyabiashara na wawekezaji ambayo yalikuwa hayatumiki naomba pia serikali itaifishe ardhi ya makanisa yote ikiwemo na katoliki ambayo hayatumiki tupewe sisi wanyonge tuyatumie. Huu ndio usawa na haki. Kama ikishindikana naomba wapinzani na wawekezaji waliochukuliwa mashamba yao warudishiwe tu maana....
Wenu ktk ujenzi wa taifa.
Nebuchadnezzar.