Kanisa Katoliki laijia juu CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa Katoliki laijia juu CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dudus, Mar 19, 2011.

 1. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,103
  Trophy Points: 280
  RAIS wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Mwashamu Thadeus Rwaichi amekemea kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wana CCM za kulihusisha kanisa hilo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

  ...

  Akizungumzia tuhuma za kulihusisha kanisa hilo na CHADEMA, rais huyo wa TEC aliwataka watu warejee historia kwani awali Dk. Slaa alikuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amehama na kujiunga na CHADEMA na kuagiza CCM ihojiwe imelipokeaje suala la Dk. Slaa kukihama chama hicho kama alivyoacha nyadhifa alizokuwa nazo ndani ya kanisa Katoliki ambapo alisema kama CCM wakijibu swali hilo itakuwa vizuri.

  ...

  "Naomba nilisisitize hilo la Kanisa Katoliki kufanya kazi kwa maslahi ya watu wote bila kubagua na nilishalisema hili kwenye vyombo vya habari," alisisitiza Rwaichi. Aliwataka viongozi kuzidodosa kauli hizo ambazo alisema ni kauli za baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na waandishi wa habari ambazo zinakanganya.

  Alisema anashindwa kuelewa ni kwa sababu gani Kanisa Katoliki linahusishwa na CHADEMA au kwa kuwa sababu Dk. willbrod Slaa alikuwa Mkatoliki na akagombea urais?

  "CCM siku hizi imekuwa ikipigiwa debe na kutetewa na madhehebu ya dini fulani je kwa kigezo hicho nayo ni chama cha madhehebu hayo yanayokibeba na kukipigia debe?" alihoji askofu huyo.

  ...

  HABARI KAMILI: Kanisa Katoliki laijia juu CCM
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikwete kasikia, maana alikuwepo. Huo ndio ukomavu wa askofu, hakuna kumsema mtu kimafumbo, wala kumteta. Mwabie livi namna hii alivyofanya Rwa'ichi
   
 3. s

  seniorita JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jibuni hoja hiyo sasa nyie mnaolichafua jina la kanisa....sasa ni vibay akiongizi kuwa na dini? Simple logic will help end all these useless disucssions on udini na divert our minds from more carnal issues of life; wake up Tanzanians; let our unity be more important than minor things that divide us
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hapa ndipo penye hoja yenye nguvu ...... nasubiri majibu
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hya ccm na makamba,jamaa wameamka hoja ipo mezani tuijibu,tukishindwa kujibu inamaanisha kuwa mkuki kwa nguruwe binadamu uchungu,
  Hoja iko mezani ya kanisa katoliki ikijibiwa na bwana makamba na ccm,then nasi tutaendelea kutoa maoni yetu
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Black and white, safi sana!
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  black and white...........sio mambo ya tamko.......JK kaambiwa usoni.
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Kanisa lishachoka sasa... kama mkianza kubisha na wanasiasa mtajishushia hadhi..
   
Loading...