Kanisa Katoliki kuwachunguza Watawa wawili ambao wamepata Ujauzito ghafla wakati wakiwa ziarani bara la Afrika

Source?
Link?

Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.

Hebu kuwa muelewa basi, hao unaowazungumzia walikuwa dhehebu la Protestant wakabadili kuwa Catholic wakiwa tayari wameshaoa na baba mtakatifu J.Paul -2 akaagiza wasivunje ndoa zao kisa utumishi, wabakie na ndoa zao.
 
Bado sielewi nini kimetokea mpaka wakapata ujauzito wakati wao ni mabikira,ngoja kwanza niingie google...
 
= hafla

Hilo mbona la kawaida. Wale wa kiume wa huko kanisa katoliki huyajui madudu yao?
 

Hilo wazi kabisa kuwa so mafundisho ya Kiislam. Ni wahalifu waliojificha nyuma ya pazia la Dini.

Hao hawana tofauti na makasisi na ma padre wanaolawitiwa ki mimbari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom