Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,469
- Thread starter
- #41
Mimi kweli nilikuwa na lengo zuri tu kwa Uzi huu lakini wengine kama nimewakera vile.Mkuu umemjibu vizuri huyo
Ninachokiona hapa wala hutapata majibu yenye mashiko. Badala yake 'die hard wakatoliki' wameamua kuugeuza huu uzi sehemu ya kujinasibu kama watu walio sahii, waliotukuka, wenye mipango mikali, na wenye akili nyingi zaidi.
Kwa maana nyingine wameshaamini lengo la uzi lilikua kukosoa kanisa katoliki hivyo uchangiaji wao mwingi umekaa ki 'defensive'
Sent using Jamii Forums mobile app