Kanisa katoliki Congo lilikuwa na waangalizi 40,000 huku vituo vya kura vikiwa 70,000, sasa uhakika wa mshindi kila kituo wameutoa wapi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,468
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
 
Wewe hujui nguvu ya kanisa katoliki Congo.....ile ni "state within astate" kuna sehemu za Congo unatumia rada ya kanisa kutua naserikali unaomba msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Elimu, elimu, elimu. Katika karne hii ya teknolojia sikutegemea watu kama wewe kuendelea kuwepo. Hata hivyo katika Tanzania yetu hii haiwezi kuwa ajabu.
 
Wadau nisiongee mengi, inakuwaje uwe na waangalizi 40000 huku vituo vikiwa zaidi ya Elfu 70, kwa maana hawakuwa na waangalizi vituo zaidi ya elfu 30.

Sasa hiki kiburi cha kumjua mshindi halali kinatoka wapi wadau?
Hasara ya kukimbia hesabu hii, kwahiyo unashindwa kuelewa kuwa hiyo 40,000 ni zaidi ya ½ ya hivyo vituo 70,000? Kwanini ushindwe kufanya approximation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue hapa ni je!baada ya kuona wenzetu wamejitahidi wamefanya sisi nasi tutaweza 2020?maana kama kulikuwa na Kanisa au hakukuwa na Kanisa siyo habari tena coz wao tayari wameshafanikiwa na sasa wataonja ladha mpya ya uongozi shughuli ipo kwetu waliopo hatujui kama ndiyo wanaofaa au wasiyokuwepo ndiyo wanaofaa!ajabu sana hii.

Ngoma bado mbichi kabisa hii.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ukisoma replies za hii mada unapata picha kwa nini waafrika tupo hapa tulipo.
Linapokuja tamko la kiongozi wa dini huku Africa basi wote huwa twageuka kuku wa mdondo hatutumii tena akili zetu kuchangua mambo
Upuuzi kama huu kanisa hauwezi kuusema huko Luxembourg, france,Britain wala USA
Wanalazimisha mkatoliki mwenzao ndie awe mshindi
Sasa sijui wana tofauti gani na kina ccm yetu
 
Back
Top Bottom