Kanisa ambalo watu wanachapwa viboko ibadani

phina

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
414
126
nipo katika kanisa moja hapa luguruni-mbezi/kibamba na nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanatandikwa viboko na mchungaji..ikibidi hata kwa kukamatwa na vijana wenye nguvu!
Niliwaza ku-post hii kwenye jukwaa la dini lakini bado nafikiria-je hii ni dini au ukichaa??sijapata jibu bado!
Tupo kwenye mapumziko ya dakika 20..narudi!!
 
wiki iliyopita baba kachapwa hapa mbele ya mke na watoto wake..natafiti chanzo cha huo mkasa!
Ila hii ya leo binti kachapwa kwa sababu anamsaliliaga muuza duka ambaye inasemekana ana uhusiano nae??ni kuburuzwa na vijana wenye nguvu na mamake mdogo-anaeishi nae alipewa viboko amwonje mbele za watu.
It is so humiliating aisee..tembea uone!
 
duuuh!...kanisa au mahabusu?
ama kweli siku za mwisho!...kwa iyo baada ya dk 20 unarudi kulambwa zako??hahahaha!.
 
hahahhaha..mchungaji anatoa unabii hapa-ni kuumbuana kwenda mbele!ukitaka kukimbia vijana wanakuvuta juu juu kukurudisha ndani..
Lakini jinsi nnavoona anaanza kwa kusema vitu vya kawaida ambavyo kila mtu anafanya and he makes YOU tell the story!wataalam nawasubiri wanielekeze vizuri..
 
Dogo wewe ukienda huko utatandikwa fimbo 2000 maana una makosa kibao....

Kapita hapa..kaniangalia!!we locked eyes for some seconds na akaniacha!ndani ya moyo nilikuwa naomba nichaguliwe nione ana lipi la kusema juu yangu!!lakini ningeumbuka kwa sababu mambo yangu nayo..mmh!
 
hahahhaha..mchungaji anatoa unabii hapa-ni kuumbuana kwenda mbele!ukitaka kukimbia vijana wanakuvuta juu juu kukurudisha ndani..
Lakini jinsi nnavoona anaanza kwa kusema vitu vya kawaida ambavyo kila mtu anafanya and he makes YOU tell the story!wataalam nawasubiri wanielekeze vizuri..
Phina ikifika zamu yako utuambie eee
 
Kapita hapa..kaniangalia!!we locked eyes for some seconds na akaniacha!ndani ya moyo nilikuwa naomba nichaguliwe nione ana lipi la kusema juu yangu!!lakini ningeumbuka kwa sababu mambo yangu nayo..mmh!
Hahahaaaaa pole....
Ukitandikwa utahama kanisa?
Lol utashangaa anaanza kukuambia kuwa jana ulikuwa na Bagah Kimara Temboni....hahaa
 
Haya makanisa yanayoibuka kama uyoga kuna kazi pole kwa kipigo ulichofwata mwenyewe
 
Dear me cjui ntafanya nini-but i have a feeling all hell will break loose!
 
Haya makanisa yanayoibuka kama uyoga kuna kazi pole kwa kipigo ulichofwata mwenyewe

Mimi mpitaji jamani..ila kuna mambo!tunaitana watumishi tu hapa..it feels kinda good kuitwa mtumishi lakini!lolz
 
Endelea kufurahia kuitwa mtumishi zamu yako ikifika ngoma itanoga uje tukawashitaki
 
Trust me on that:)
ndo aniambie 'dada..wakati wa mapumziko ulikuwa jamii forums unasema mambo ya kanisa langu..ulikiwa na nia gani??'

Madam pole for being witness brutality !
Wewe mwenyewe ushachapwa ?
Au u-mchapwaji mtarajiwa ?
 
samahani wanachapwa mikononi au kwenye MAKETIO??

'maketio' tena unalala chini kabisa..ukizingua kulala unaweza ambulia bao!alafu mchungaji anacheeeka....so disgusting kwa kweli!
 
Back
Top Bottom