Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Ukisikia mwezi wa shetani, Basi Ndo huu mwezi Machi na mwezi April.
Yaan Hii miez Ni mwendo wa migogoro TU kila kukicha na Mchepuko wang mamaJ.
Likibanduka hili linaibuka jingine.

Kama mnavokumbuka kipind Cha nyuma nilishamuandaa kua akivunja Kikoba chake, kile Kias chochote atakachokua kafikisha ntamuongezea mara mbili yake aweze kuanza biashara yake vizur, ila sharti Ela ya miez 6 ya kwanza fremu agharamie mwnyw kwa mshahara wake.

Sasa tar 29march akanambia kapata fremu zuri linafaa Sana kwa biashara yake anayoifikiria, Kisha akanambia fremu Lile linagombewa sana Kwaiyo anafikiria kulilipia KABISA miez 6 Kisha aombe kujitoa kwenye Kikoba Chao kwa sharti la kurudishiwa Ela zake ila Bila faida yoyote wala Ela ya mazingira. Nikasema sawa wazo zuri.

Tar 30 March akanambia kua wamemkubalia kujitoa kwny kikundi na hesabu zimepigwa Kias chake kimefikia mil.2.8 na Ijumaa Tar. 1 april siku ya kukutana Kikoba chao anaweza akapewa pesa yake yote CASH. Kwaiyo anaomba kesho tar 31 akanionyeshe frem lenyewe ili kama nami nmeridhika nalo alilipie KABISA ili pesa yake ya kikoba ikija Aanze Moja kwa moja. Nikasema sawa.

Kweli kesho yake kanipeleka na fremu nmeliona nmeridhika nalo, kalipia mwnyw Kodi ya miez 6, laki 9 cash tukaondoka pale.

Kesho yake tarehe 1 april mchana kaniingizia pesa yote mil.2.8 Kisha kanipigia akinambia Sasa KAZI imebaki Kwangu. Nikasema sawa Haina shida ngoja niweke mambo yangu sawa. Kisha Tutalifungua TU. Akasema poa

Ila Sasa baada ya kunipa zile pesa zake, nikakaa na kupiga hesabu zangu kichwan nikaona mzigo unaohitajika kumuongezea Ni mkubwa Sana.

Basi kesho yake nikamkalisha chini na kumweleza kua Mwez huu sitoweza kabisa kutekeza ahadi yake aniache kwanza nipumue mpk mwezi April wote upite, mwezi may nao nijikusanye pia. Kisha mwez wa 6 rasmi ndo nimfungulie KABISA duka lake. Au Kama Hawez kuvumilia Aanze TU hivyo hivyo na mtaji huo huo alionao. Akasema HAIWEZEKANI.

Nikamweleza sababu ni kua mwez March wote pesa nyng Sana zimenitoka sana nje ya mzunguko wangu wa biashara.
Nikamwambia,
1. Nmetoka kulipa Kodi ya mapato robo ya mwaka ikiwa na kiporo Cha decemba mwaka jana.
2. Nmetoka kuchangia matibabu ya mzazi wa kijana wangu Alipata ajali.
3. Nmetoka kutekeleza ahadi ya mchango wa ujenz ukweni kwangu
4. Nmetoka kufanya ukatabati mkubwa wa vitendea kazi ofsn kwangu.
5. Kuna misiba miwili mikubwa ya wenzetu, Nmetoka kuchangia pakubwa sana.

Pia nikamweleza kua Mwez wa 4 mwanzoni nao natakiwa
1. Kulipa ada za wanangu
2. Nna rejesho kubwa benki
3. Natakiwa kuchangia Ela ya mawakili, kuna kesi mahakamani unaendelea.
4. Bado mengine ya dharura yajayo....

Akasema kanielewa ila Ilo la kutekeleza ahadi ya ukweni kwang halikua na umuhimu vile vile Kama na lake pia naona halina umuhimu kwa sasa, Kama niliamua kubalance ukweni kwangu kwann na kwake nisijitose tu kubalance hivyo hivyo maana yeye pia Ni mwenza wangu na sehem ya familia yang. Nikamwambia Ayo yatakua Ni mashindano Sasa kytaka kushindana na MKE wangu.
Akiendekeza huo utoto tutashindwa kufika mbali.

Nikamweleza kua ujenz ule wa ukweni kwangu ulikua Kwny hatua endelevu, Na usingewezekana kwa namna yoyote ile kuusimamisha.
Nilishaahidi tayar kuchangia bati zote . Wao wameshagonga mbao wananisubiri tu nilete bati wafunike. Ningesema niache mpk baadae maana ake zile mbao zingeharibika na gharama ya kufunika ingekua Ni Zaid ya ile.

Basi akawa kanuna akisema nafanya ubaguz kisa yeye sio MKE wangu wa ndoa, Namchukulia Ni Mchepuko tu wakupita Ndo maana simpi umuhimu wowote ule kwenye mipango yake.
Eti kwa mke wangu natekeleza ahadi ila kwake napiga piga chenga. Nikamwelewesha sana kwa utulivu ila baadae akasema yameisha kanielewa.

Sasa tangu siku Iyo tarehe 1 akawa kila tukikutana kwenye tendo akawa anakua mzito sana kunipa tendo kwa ustadi ule ule niliouzoea, saa nyingine ananipa ilimradi TU na kunichanulia mapaja TU nifanye kifo Cha mende akisingizia Hana mood. Saa nyingine anajilaza kiubavu ananibinulia makalio niingize mwnyw bila ushirikiano.

MDA mwngn hata tukiwa Iyo kifo Cha mende, Bila kumshtua hata kukumbatiwa sikumbatiwi. Ile miguno ya utamu na kunyonga kiuno mpk umstue. Siwez kuficha tangu Iyo tarehe moja Yale majimaji yake huwa ananifyatulia ananiloanisha ameacha KABISA, unaskia tu keshaloa uko uko ndani kimya kimya. Kukaa juu Yaan Ni mpk nilalamike Sana, na Akikaa ni MDA mfupi anarudi chini. Yaan wakuu kiufupi sex imekua Ni KERO Sana.

Baadae ikabd niwe mkali kdg Sasa, nkamwambia Kama hajiskii kusex na mm aseme au kama kapata mwingine Ni Bora aseme TU maana sasa imekua Ni too much. Anafanya Kama kalazimishwa. Akafunguka eti Hana amani yoyote moyoni mwake.
akili yake yote inawaza duka lake tu MDA wote, fremu lake keshalisafisha linapigwa na Bui bui TU. Kama Nikitaka kuenjoy vizur sex Kama zaman nikamilishe kumfungulia duka HARAKA sana akili yake ikae sawa.

Ikabd nicheke,
Kisha Nikamwambia Kwaiyo anaona suluhu ya duka lake lifunguliwe Ni mimi kunipa unyumba tu ili mradi. Hivi anajua Naweza kwenda na Ela yangu kidg TU Apo baa ya jiran nikanunua huo unyumba anaoninyima kwa Raha mustarehe afu asiniskie Tena nikimsumbua khs Hilo la kusex na yeye. Na maisha yanaenda kama kawaida. Akasema Uhuru Ni wangu tu, Nikitaka kwenda niende TU.

ila yeye msimamo wake Ni ule ule. Kama simfungulii duka lake HARAKA iwezekanavyo nisitegemee Tena kuenjoy sex na yeye maana inaonyesha simthamini nmeegemea upande wa MKE wangu TU. Nikacheka Nikajua masihara.

Nikamwambia kama umeniruhusu sawa, mi ngoja nikamnunue uyo kahaba. Akasema Chukua na elf 10 ya ziada umnunulie na bia ili akupe Raha vizur uridhike. Nikaipokea nikasema asante. Ikabd nikatishe zoezi la tendo nikavaa nikatoka.

Nmetoka pale nmeenda baa ya jiran nnakopaki Gari siku zote, nmeagiza bia mbili nmekaa nakunywa nitulize KICHWA kwa hasira nilizotoka nazo uko.

nikamuona nae kafika kakaa pemben yangu Ananiuliza vipi baamedi ujapata TU MDA wote tangu uondoke. Nikajibu sijapata. Akasema ngoja aniitie meneja anitaftie baamedi pisi Kali wa fasta. Nikajua masihara.

Kweli Akamuita meneja akaja akamwambia amletee Kilimanjaro Moja na baamedi mmoja mzur Alie free, akimuonyesha kua Mimi pemben namtaka ili nikamlale sahv. Meneja kaleta bia na akasema utaratibu Ni ili kumtoa ofsini kabla ya MDA wa kazi natakiwa kuacha sh. Elf 10 kaunta. Akasema sawa. Akatoa elfu 10 akampa meneja.

Meneja akamuonesha mabaa medi walokuepo mazingira yale kwa majina na kunambia mimi nichague Ni yupi nmempenda namtaka, sikujibu chochote nikakaa kimya. MamaJ akadakia eti amchagulie anayeendana na yeye anajua uyo Ndo nitaenjoy. Kweli meneja kamleta mdada pale tulipokaa. Kisha mamaJ akatoa elfu 5 akamuagizia bia mbili baamedi yule. Kisha akawa anampigisha story Akitaka na Mimi nichangie mada. Nikakaa kimya nmekasirika.

Sasa Kuna MDA baamedi yule akaweka mkono wake began kwangu, nikautoa kwa hasira, akaurudisha nikautoa Tena. MamaJ akawa ananicheka sana eti nmemtaka baamedi mwnyw sahv namkimbia. Nikaona dharau Sasa hizi zimezidi, nikaondoka zangu pale. Nikainuka kwa hasira kisha nikaenda nyumban kwangu. Mchepuko akanitumia sms za kebeh kua nilikua napima kina Cha maji kwa mguu, kanikomesha. Nikasea sawa.

Sasa hasira zile kesho yake nmefunga saa 12 nyeg zimenizidia nikaamua kwenda kwa mdg wake rose kuzipunguza, kule nako nikaambulia upuuzi show yake haieleweki.nikafanya tu ila sikuenjoy sana. Ikabd kukatisha zoezi saa 2 usiku Kuna sehem nawahi. Nikaelekea Tena kwa mamaJ.

Kufika kule nako Ni Yale Yale afu anajichekesha tu, hata hanipi ushirikiano. Ikabidi niloweke TU ilimradi nikojoe. Na kweli nikakojoa kwa kujilazimisha nikaondoka zangu kwangu. Ila sikufurahia kabisa tendo lile maana kelele za kuambiwa "kujoa bhana mi nmechoka" zilikua nyingi mno.

Kesho yake nikaona Sasa uyu dawa yake niwe naanzia kwa Rose kisha naenda namalizia kwake siku Iyo iyo,Maana japo Rose sio mtamu au mtundu sana Ila angalau Kuna chochote kile naambulia. nikimuendekeza na kumtegemea mamaJ peke ake tu kwny sex ntateseka Sana.

Kama kawaida nikafunga mapema sana saa 10 jion nikaanzia kule kwa Rose kwenye chumba nilichompangishia, kisha saa 2 usiku naondoka kwenda kumalizia kwa mamaJ ninakopewa kiuchoyo uchoyo kwa mgao Bila ushirikiano.

Sasa Jana nmeshafunga mapema saa 9 nmetaka kwenda kuanzia kwa rose, akanambia hayupo nyumban Kaenda campus anajisomea na wenzie JUMATATU Kuna test, nikasema sawa. Ikabd ruti ibadilike niende kwa mamaJ. Nmefika kwake saa 12 nmemkuta.

Tumefanya ila ikawa Ni yaleyale, yaan tunasex afu mtu anakuongelesha habar za vijora, madira ya msomali na enga za nguo. Inakera Sana unaona kabisa uyu akili yake haiko pale. Kisha MDA mfupi TU toka tuanze kusex akanambia kachoka Nimuache apumzike. Dah! Hasira zikanipanda.

Nikamwambia usiniletee masihara,huu upuuz wako nishauchoka sasa. Leo siwez kwenda kulala na nyege zangu.
Kama utaki kuendelea, mi naenda zangu kununua kahaba pale baa ya jirani nnakopaki gari nikaimalizie hii mechi yangu ulokatisha na tusilaumiane kwa hili, akasema sawa wewe tu unavyotaka. Nikasema sawa. Nikamwachia posho yake ya meza elf 10 kisha nikavaa nikaondoka zangu.

Niko natembea kwa miguu kuelekea ile bar nilikoacha gari niondoke zangu, nikamuona kwa nyuma kwa mbali ananifuatilia kwa nyuma. Ikabd Sasa kuahirisha wazo la kuondoka. Ikabd ningie ndani kabisa bar nichukue meza niagize bia moja. Nione Kama kweli ananifatilia Mimi.

Nikiwa nmekaa nikamuona getini anangaza macho ananitafta nilipo, akaniona na kuja kukaa nilipo. Nikamuita meneja aje amhudumie mamaJ Kisha aniitie yule yule baamedi yoyote alienona anayejitambua nataka kuondoka nae sahv. Akasema niache elf 10 ya ofisi, ananiitia matron wao anisaidie Hilo.
nikasema sawa nikampa elfu 10.

Matroni kaja, Ni mmama mtu mzima akiwa na simu yake. Kakaa Akanionyesha picha kadhaa za wanawake kadhaa akisema hao ndio waliopo nichague niliempenda. Nikachagua mmoja.
Baada ya Dkk 5 kahaba mwenyewe kaletwa na kaja kukaa pemben yangu.
Kahaba upande wa kushoto, mamaJ upande wakulia. Mimi Niko Katikati.

Baada Aya bia mbili, nikalipia bia zote tulizokunywa pale. Nikamwambia mamaJ akimaliza kunywa Iyo bia ya mwisho yeye arud nyumban kwake akalale.

Nimamuaga Mimi naenda nlkumshughulikia uyu baamedi, akacheka akijua ni masihara.
Nikamuuliza baamedi palepale usiku kucha utanifanyia Bei gan, akanambia elfu 50, nikamwambia ipo elfu 30 tu. Akasema sawa.

Basi nikamshikisha ela yake mkononi kabisa mamaJ akishuhudia palepale. kisha Nikamuinua mkono wake na kwenda kuingia nae kwny gari na kuondoka eneo lile. Niko katkat ya Safar zikaanza kuingia utitiri wa sms akinitukana na kulalamika.

Ikabd nipak pemben nisome sms moja baada ya nyngn, ikanibd nicheke. Baamedi akaniuliza kulikoni nikamwambia TU kwa kifupi kua alidhan natania. Uko alipo anajua Nmeenda kukulala nawewe. Akasema si Tukafanya kweli sasa.

Nikamwambia hapana, sikua na mzuka wa kukufanya leo, Bali ni kumtia TU adabu yule mwanamke ajue Naweza kufanya vile Maana alinichukulia poa.
Nnachokuomba Iyo ela wee baki Nayo tu ila usirudi kule bar MDA huu Maana huu Ni mchongo, tusije haribu. Akasema sawa yeye anaenda kwake kulala. Kashuka nmemuitia bodaboda nmemlipia iyo bodaboda aende kwake.

Basi tukabadilishana namba, akasema kwahili Lazima Kuna MDA mamaJ atamfata amhoji Nini kiliendelea baada ya sisi kuondoka. mawasiliano itamsaidia Kama mamaJ atamtafta kumhoji kwa chochote kile kabla hajamjibu atasogea pemben na kunipigia kuniuliza Ni kipi ajibu vipi au aache ili asije kuharibu mahusiano yetu. Nikasema sawa.

Tukaagana nikaendelea zangu kwangu kulala. Nmeamka Leo asbh namsalimia kumjulia Hali tu kawaida mamaJ wangu.
Ila sasa ayo matusi nilioporomoshewa mwnyw nmebaki kinywa wazi

Ushauri wenu tafadhali


View attachment 2179108View attachment 2179109View attachment 2179110View attachment 2179112View attachment 2179113
Mmmh hivi mke wako anapata saangapi unyumba? Maana wewe kutwa na wanawake tofauti na mkeo
 
Mi mwanaume wangu umuandikie hizo texts za matusi ya kumtukana hivyo, texts ndefu ndefu hivyo, texts za kashfa hivyo!'
EHEHEHHEHEHHEHHEE
 
Huwa najiuliza iwapo mkewe sio mwanamke kwa kiwango hiki anaishi nae wa nn?
Mume wa aina hii kweli mmmh!
Yani hana remorse, wala haoni ni aina yamaisha yanampotezea mali, wakati na kumkosesha amani na familia!
UNDER NO CIRCUSTAMNCE MKEWE ANA FURAHA huyu baba!
Akiwepo numbani mawazo ni kwa mama j na rose
akienda kwa rose hampi papa anavotaka
akienda kwa mama j anampasua kichwa kama hivi.

Huyu mtu lazima kichwa kisiwe na utulivu wa kuwa na furaha na mkewe.
na haiitaji yani!
na mke yuko huko anasema ameolewa!
yupo busy na maji ya mwamposa kuombea kipato cha mume.
nyieeee , tuna kazi sana wanawake.
 
Ww unajua kupigania penzi lako, uishi sana
Kila mtu anajua chaka lake mwaya.
Wangu nikimuandikia text za kumkashifu hivyo hakyamama!
Sio kuwa hatuongei matusi, ila hatutukanani yani.
Unajua kuna matusi na kutukana?
Siwezi muandikia mwanaume anayenikaza texts za aina hii mimi!
Hata awe ameniudhi vipi
mxxxxxieee
 
Huwa najiuliza iwapo mkewe sio mwanamke kwa kiwango hiki anaishi nae wa nn?
Mume wa aina hii kweli mmmh!
Yani hana remorse, wala haoni ni aina yamaisha yanampotezea mali, wakati na kumkosesha amani na familia!
UNDER NO CIRCUSTAMNCE MKEWE ANA FURAHA huyu baba!
Akiwepo numbani mawazo ni kwa mama j na rose
akienda kwa rose hampi papa anavotaka
akienda kwa mama j anampasua kichwa kama hivi.

Huyu mtu lazima kichwa kisiwe na utulivu wa kuwa na furaha na mkewe.
na haiitaji yani!
na mke yuko huko anasema ameolewa!
yupo busy na maji ya mwamposa kuombea kipato cha mume.
nyieeee , tuna kazi sana wanawake.
Huenda akiishiwa mkwanja ndo atatulia na mkewe au akipata magonjwa atauguza mkewe
 
Huwa najiuliza iwapo mkewe sio mwanamke kwa kiwango hiki anaishi nae wa nn?
Mume wa aina hii kweli mmmh!
Yani hana remorse, wala haoni ni aina yamaisha yanampotezea mali, wakati na kumkosesha amani na familia!
UNDER NO CIRCUSTAMNCE MKEWE ANA FURAHA huyu baba!
Akiwepo numbani mawazo ni kwa mama j na rose
akienda kwa rose hampi papa anavotaka
akienda kwa mama j anampasua kichwa kama hivi.

Huyu mtu lazima kichwa kisiwe na utulivu wa kuwa na furaha na mkewe.
na haiitaji yani!
na mke yuko huko anasema ameolewa!
yupo busy na maji ya mwamposa kuombea kipato cha mume.
nyieeee , tuna kazi sana wanawake.
Dah!
 
Kuna namna nikisoma stories zako namfikiria sana mkeo.
Hakuna namna nyie wawili mnaweza kuwa na furaha pamoja.
Sio nia yangu kukuhukumu, mi mwenyewe nna mambo meusi kibao.
Natizama tu uhalisia wa hiki unachoandika, sioni mahali uko happy na mkeo wala your intimacy life.
Haupo yani.
Sex life haimuhusishi mkeo as in anything.
Sijui lakini,
 
Back
Top Bottom