Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

Mzigua90 saa9 usiku kweli upo nyumbani kwa mwanaume? Daaa ndio mana sipendagi msichana wangu awe na urafiki na mwanaume.. Hivi unategemea nini hata kama ingekuwa Mimi na unavutia ningetaka mzigo tu..


Duuu saa 9 usiku si muda wa chakula kabisa huo tena mvua inanyesha.
Ulichofanya kumnyima mwenzio ni uchoyo...
Nilikua simjui. Wakaja rafiki zangu wakasema twende top garage. Njia ya kwenda top garage kutokea Kinondoni tunapita kwake. Alikua ametoka safari akasema tushuke akaweke mizigo ili tuwe free. Kuingia kwake sasa ikawa kosa. Yaani kwanza alivyoniona tu utasema mtoto kaona mama yake. Sasa kufika kwake akaona nafasi ndo hii.
 
Siku nyingine akikuomba u sindikize vaa gauni zito. Huenda lilimtatiza sana na alihisi umemvalia yeye .
 
Usitembee usiku bana..

Ila yaonyesha unaushawishi
Jamaa hajaelewa wenzio kakuelewa wewe?
Au wenzako amekwisha watafuna?
Hongera kwakujielewa ukakimbia mti wa jamaa
Nilikutana nae saa tatu. Tumeenda mitaa ya mbezi saa saba. Sio ushawishi anapenda wanawake wanene ndo shida yake
 
Halafu Wewe mbona una nye.ge sana na mimi toka jana nakuona,na jana shukuru moderator walichomoa comment yako na yangu ningekufurahisha,usinshobokee
Umenitamanisha njoo basi unitembelee nakuomba please..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom