Kaninyima chumba kisa mpenzi wangu ana mwili mdogo, imeniuma sana

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Heshima kwenu wakuu,

Naandika kwa masikitiko. Hivi hawa wahudumu wa nyumba za wageni kwanini wanijafanya wanajua umri wa watu? Wana kipimio hadi wampangie mtu.

Mimi napenda wanawake wa aina fulani. Sasa nashangaa jamaa ananibania. Nimehisi yule jamaa anatembea na mpenzi wangu. Kwanini ukadilie miaka ya mtu? Wewe mchawi?

Natumia nafasi hii kuwaasa wote mnaojifanya much know kwenye nyumba za wageni. Mtu yupo zaidi form five unamdharau!?

Natamani Magufuli aje abomoe hilo ligorofa lenu.

Ngoja niende zangu 777. Hamjanikomoa wala nini.
 
Ha ha ha, nenda silver lodge pale interchick kwa nyuma, ukifumaniwa hapo ujue ni mchezo umepangwa
 
Haroo huyo ni mwanangu ametoroka nyumbani tangu saa tatu asubuhi, naomba umrejeshe hapa lugalo
 
Heshima kwenu wakuu,

Naandika kwa masikitiko. Hivi hawa wahudumu wa nyumba za wageni kwanini wanijafanya wanajua umri wa watu? Wana kipimio hadi wampangie mtu.

Mimi napenda wanawake wa aina fulani. Sasa nashangaa jamaa ananibania. Nimehisi yule jamaa anatembea na mpenzi wangu. Kwanini ukadilie miaka ya mtu? Wewe mchawi?

Natumia nafasi hii kuwaasa wote mnaojifanya much know kwenye nyumba za wageni. Mtu yupo zaidi form five unamdharau!?

Natamani Magufuli aje abomoe hilo ligorofa lenu.

Ngoja niende zangu 777. Hamjanikomoa wala nini.
Wanafunzi watakuua blazaaaa.....mie juzi nilikutana navyo hivi viwanafunzi mitaa fulani hapa Arusha daaaaaah!!Mungu saidia swaumu yangu aiseee vinginevyo unaweza kuacha kufunga ama kumfuata babu Seya bila kukusudia so na ww acha yaani maneno mawili tuuu A-CHA in magogoni's voice
 
Heshima kwenu wakuu,

Naandika kwa masikitiko. Hivi hawa wahudumu wa nyumba za wageni kwanini wanijafanya wanajua umri wa watu? Wana kipimio hadi wampangie mtu.

Mimi napenda wanawake wa aina fulani. Sasa nashangaa jamaa ananibania. Nimehisi yule jamaa anatembea na mpenzi wangu. Kwanini ukadilie miaka ya mtu? Wewe mchawi?

Natumia nafasi hii kuwaasa wote mnaojifanya much know kwenye nyumba za wageni. Mtu yupo zaidi form five unamdharau!?

Natamani Magufuli aje abomoe hilo ligorofa lenu.

Ngoja niende zangu 777. Hamjanikomoa wala nini.

Amekeupusha na ukimwi huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom