Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

It's a psychological game. ....atakuja akulipize, na utaumia sio kitoto. Moja ya Kanuni zangu za kucheat ni kwamba, ukikamatwa bora muachane tu, kosa la kucheat tena na rafiki yake haliwezi kusahaulika hivyo tu. Anakusahaulisha ili umpende zaidi halafu akulipize.
Wowowo limekuponza buddah, pole sana
 
Mkuu sina haja ya kukulaumu limeshatokea;
Nakushauri tafta mama mtu mzima mwenye hekima, mpe mkanda mzima na mtume akaongee naye na akuombee msamaha.
Binafsi nina silaha yangu adimu ambayo mwanamke yeyote chini ya jua nikiirusha hawezi kuacha kunisamehe

Ipi?
 
Ila huo mchepuko wako nao una akili za kitaahira.

Anaanzaje kuwaringishia wenzake kwamba yupo kwako huku akijua kuwa yeye ni mwizi tu na mmiliki mwenyewe anajulikana?

Bora ulivyomkataa tu,hana akili huyo
 
Ana moyo sana...mpende sana huyo dada...hataki kuliongelea coz linamuuma sana...wanawake wengi huwa tupo hivo...mm mwenyewe kitu kikiniumiza na mtu nampenda kweli sitaki kukiongea mara kwa mara maan kila napokisem naumia...ameonyesha uvumilivu wa hali ya juu
 
Ila huo mchepuko wako nao una akili za kitaahira.

Anaanzaje kuwaringishia wenzake kwamba yupo kwako huku akijua kuwa yeye ni mwizi tu na mmiliki mwenyewe anajulikana?

Bora ulivyomkataa tu,hana akili huyo
Wanawake wengi wenye makalio makubwa hakuna kitu kichwani.
Huwa wanadhani makalio ndio kila kitu kwa maisha wanayoyafanya.

Ndio maana hata wakipiga picha wanaonesha makalio tu.
Hakuna wanachowaza zaidi ya hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom