Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

Huyo hata akioa atamsaliti mkewe tena kwenye kitanda chao. Baadhi ya wanaume hawajui kucheat yaani ni dharau sana kucheat na best wa mpenzi wako. Haya basi..alishindwa kwenda nae sehemu nyingine wakamalizane huko?
Mi wala simuonei huruma, na huyo bidada ukute anaandaa revenge ya kufa mtu, waache tu wamsifie kuwa ni wife material.
Hlf wanaume walivyo wajinga wanapenda kupata mke wa hivyo ili aendeleze upuuzi akiamini kwamba mke hawezi fanya lolote atamsamehe tu ht afanyeje
Hapa ndo huwa wanaharibu wanasahau kuwa mwanamke naye ana moyo...na siku akisema enough is enough ndo itakuwa mwisho wa mahusiano yenu

Mleta Uzi Nina imani hata akikusamehe bado utarudia huo upuuzi tu maana huenda ndo tabia yako.
 
Akishasamehewa anasahau kila kitu anarudia yale yale
Hapa ndo huwa wanaharibu wanasahau kuwa mwanamke naye ana moyo...na siku akisema enough is enough ndo itakuwa mwisho wa mahusiano yenu

Mleta Uzi Nina imani hata akikusamehe bado utarudia huo upuuzi tu maana huenda ndo tabia yako.
 
Huyo mwanamke ana chembe za umalaika.....haujamuoa..umecheat na bado anafua na kupika!??

Ufe tu kwa ukimya wake
 
sijajajua kwa nini umeamua kunihukumu . nawaza lakini bado sijapata majibu.

Hapa ndo huwa wanaharibu wanasahau kuwa mwanamke naye ana moyo...na siku akisema enough is enough ndo itakuwa mwisho wa mahusiano yenu

Mleta Uzi Nina imani hata akikusamehe bado utarudia huo upuuzi tu maana huenda ndo tabia yako.
 
Ila kama story vle
Huyo demu wa rafk ako atakama anakutA ndio aje aspent kwako fo whole day kwa cku ya kwanza
Najua atakam anashoboka game inapgwa anasepa
 
Sasa mkuu nikuulize unafikiri kwann mwanamke akichepuka huachwa? Na mwanaume akichepuka husamehewa?
Hapo inategemea mtu na mtu kunawanaume wanawasamehe wake zao wakiwafumania au hujawahi ona ww?.Ndo maana ingekuwa mm ningewafukuza wote tena ningekuwa mkali kweli alafu baadae ningemtafuta bby mama wangu maisha yasonge
 
Mkuu ulipima nae kwanza ukimwi maana inaonekana yeye ndo kakutendea dhambi kubwa sana ndo maana yako anaiona ndogo
 
mtoe out agiza kinywaji chake pendwa tia konyagi nunua kitimoto rudi home zama chumvini hata ya uongo tia dushwe lisaa ... busu denda usisahau, vizia ile anakojoa usitoe dushelele mwambie jinsi unampenda. singizia shetani habari kwisha-
 
sasa mbona uli fail sana. maan watu waliendelea ku comment tu pasipo kusita toka ume jip ahiyo kazi angalia pages bado ziliendelea tu ku ongezeka. na watu wametoa maoni na ushauri wao kitu ndicho nlichohitaji. you have totally failed. the mission isnt completed na bado wenye uelewa wame ignore na kutoa ushauri wao nasaha. :p:p:p. umefukua ila watu wamezifukia.... yaani hawajajali. umejipa kazi isiyo na malipo.

hahaahhah, huwa tuna enda na ushahidi. hahahahahah. Nimefukua threads zake. hahahahaha
 
sasa mbona uli fail sana. maan watu waliendelea ku comment tu pasipo kusita toka ume jip ahiyo kazi angalia pages bado ziliendelea tu ku ongezeka. na watu wametoa maoni na ushauri wao kitu ndicho nlichohitaji. you have totally failed. the mission isnt completed na bado wenye uelewa wame ignore na kutoa ushauri wao nasaha. :p:p:p. umefukua ila watu wamezifukia.... yaani hawajajali. umejipa kazi isiyo na malipo.
Hongera kwa utunzi uliotukuka.
 
mkuu kuna watu hawatumii kinywaji kikali naye ni mmoja wapo. chumvini huwa natamani sana kuingia lakini huyu binti hapendi kabisa kuingiliwa chumvini... na hata yeye hali koni. yaani ni amenyooka sana. ila mengine tunafanya na anafurahia vizuri tu.

mtoe out agiza kinywaji chake pendwa tia konyagi nunua kitimoto rudi home zama chumvini hata ya uongo tia dushwe lisaa ... busu denda usisahau, vizia ile anakojoa usitoe dushelele mwambie jinsi unampenda. singizia shetani habari kwisha-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom