Kaniblock kwa kumkumbusha deni ninalomdai

Mim Nina Rafiki yangu huwa hatukopeshani bali tunapeana tu,nikiwa vizuri hata kama hajaniomba namtumia hela,na yeye akiwa vizuri ananitumia hela,tuna miaka mingi afu tulikuja gundua kuwa ni ndugu,yaan kuna Dada yangu kaolewa kwenye ukoo wao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom