Kani block social Media zote kisaa.....

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
954
1,035
Habari wakuu kuna demu mmoja hivi ni kama mshikaji wangu bana kumbe yule demu alikua ananizimia kinima noma sema ajawahi kunambia bana sasa siku ikipita sijamtumia text anaumia kinoma noma yaani ... akaona bora Tuu aniblock ili awe na Amani kwa maana akiniiona online halafu nisipomtext anaumia sana so akanona eti aniblock eti jamani kweli wanwake wana mabmbo ya ajabu sana ha ha h ah if you love someone tell him....
akadai anaipenda etii................................

Nimewasilisha.....
Na humu yumooo
 
Umejuaje kama anakupenda labda kaona hauna faida yoyote kwake?
 
Amini usiamini % nyingi ya wanaume hatuna ujanja mbele ya mwanamke akitutaka
 
Habari wakuu kuna demu mmoja hivi ni kama mshikaji wangu bana kumbe yule demu alikua ananizimia kinima noma sema ajawahi kunambia bana sasa siku ikipita sijamtumia text anaumia kinoma noma yaani ... akaona bora Tuu aniblock ili awe na Amani kwa maana akiniiona online halafu nisipomtext anaumia sana so akanona eti aniblock eti jamani kweli wanwake wana mabmbo ya ajabu sana ha ha h ah if you love someone tell him....
akadai anaipenda etii................................

Nimewasilisha.....
Na humu yumooo

Vipi hajakublock mtaani mkikutana anageuka na kupita barabara nyingine ili asikuone?
 
social media it's magazeti,redio stations, tv stations etc! kakublock vp huko?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom