Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Mhesh Waziri, Wasalaam.
Nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya tokea uteuliwe. Ukweli Wananchi wengi wanaonyesha kukubaliana na Utendaji wako.
Nakuomba pia urejee sherehe ya kuapishwa kwako Ikulu, maagizo uliyopewa na Mhesh Rais pamoja na sababu za kuondolewa mtangulizi wako.
(1)Je hadi sasa ni maagizo mangapi umeyatekeleza?
(2) Je Hadi sasa ni maagizo gani hujatekeleza?
(3) Je wapo watu au zipo mamlaka zozote ndani ya Serikali ambazo ni kikwazo kwako katika utekelezaji wa maagizo uliyopewa na Mhesh Rais?
(4) Je umechukua hatua gani hadi sasa?
Mhesh kumbuka Utekelezaji wa maagizo uliyopewa ndiyo kipimo halisi cha Uteuzi wako machoni kwa aliyekuteua. Nikushauri kwa upitie upya maagizo yote uliyopewa na ujifanyie tathmini binafsi!
*Tunatekeleza*