Kangi Lugola unakumbuka maagizo ya Rais Magufuli wakati wa kuapishwa kwako!?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Mhesh Waziri, Wasalaam.

Nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya tokea uteuliwe. Ukweli Wananchi wengi wanaonyesha kukubaliana na Utendaji wako.

Nakuomba pia urejee sherehe ya kuapishwa kwako Ikulu, maagizo uliyopewa na Mhesh Rais pamoja na sababu za kuondolewa mtangulizi wako.

(1)Je hadi sasa ni maagizo mangapi umeyatekeleza?

(2) Je Hadi sasa ni maagizo gani hujatekeleza?

(3) Je wapo watu au zipo mamlaka zozote ndani ya Serikali ambazo ni kikwazo kwako katika utekelezaji wa maagizo uliyopewa na Mhesh Rais?

(4) Je umechukua hatua gani hadi sasa?
Mhesh kumbuka Utekelezaji wa maagizo uliyopewa ndiyo kipimo halisi cha Uteuzi wako machoni kwa aliyekuteua. Nikushauri kwa upitie upya maagizo yote uliyopewa na ujifanyie tathmini binafsi!

*Tunatekeleza*
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,215

Musiba your days are numbered
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,860

Utekelezaji ni mzuri sana tena wenye weledi mkubwa mno,watanzania wote tunaishuhudia, nadhani penye namba (3) hasa ndipo penye changamoto sana maana wapo baadhi ya watu ama makundi binafsi au unregisterd taasisi fake zenye nguvu mno,ambazo zimegeuka kama ndio wasemaji wa serekali,wasioiogopa serekali hata kidogo huku wakijifanya watetezi wa rais, mpaka kuondoa umaana wa uwepo wa mamlaka za kisheria. thats shame,taasisi ya umma itakapoanza kuitwa dhaifu itakauwa ni mbaya zaidi.better prevent it before.
 
Michibo

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
1,399

Tunaumizana meno bhana.
 
CHOKAMBOVU

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
716
500
Mhesh Waziri, Wasalaam.

Nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya tokea uteuliwe. Ukweli Wananchi wengi wanaonyesha kukubaliana na Utendaji wako.

Nakuomba pia urejee sherehe ya kuapishwa kwako Ikulu, maagizo uliyopewa na Mhesh Rais pamoja na sababu za kuondolewa mtangulizi wako.

(1)Je hadi sasa ni maagizo mangapi umeyatekeleza?

(2) Je Hadi sasa ni maagizo gani hujatekeleza?

(3) Je wapo watu au zipo mamlaka zozote ndani ya Serikali ambazo ni kikwazo kwako katika utekelezaji wa maagizo uliyopewa na Mhesh Rais?

(4) Je umechukua hatua gani hadi sasa?
Mhesh kumbuka Utekelezaji wa maagizo uliyopewa ndiyo kipimo halisi cha Uteuzi wako machoni kwa aliyekuteua. Nikushauri kwa upitie upya maagizo yote uliyopewa na ujifanyie tathmini binafsi!

*Tunatekeleza*
Kumkubali kwako kusiwe ni kwa wananchi wote. Kipi amekifanya kama waziri wa mambo ya ndani wakati wapo wengi wamesingiziwa kesi na wengine kunyamazushwa kwa kutishiwa kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,035
2,000
Mhesh Waziri, Wasalaam.

Nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya tokea uteuliwe. Ukweli Wananchi wengi wanaonyesha kukubaliana na Utendaji wako.

Nakuomba pia urejee sherehe ya kuapishwa kwako Ikulu, maagizo uliyopewa na Mhesh Rais pamoja na sababu za kuondolewa mtangulizi wako.

(1)Je hadi sasa ni maagizo mangapi umeyatekeleza?

(2) Je Hadi sasa ni maagizo gani hujatekeleza?

(3) Je wapo watu au zipo mamlaka zozote ndani ya Serikali ambazo ni kikwazo kwako katika utekelezaji wa maagizo uliyopewa na Mhesh Rais?

(4) Je umechukua hatua gani hadi sasa?
Mhesh kumbuka Utekelezaji wa maagizo uliyopewa ndiyo kipimo halisi cha Uteuzi wako machoni kwa aliyekuteua. Nikushauri kwa upitie upya maagizo yote uliyopewa na ujifanyie tathmini binafsi!

*Tunatekeleza*
Ndio kiana wangu Musiba. Mimi Kangi Alphard Lugora, Mb. Na waziri, mwenye nimetekeleza maagizo yote ikiwa ni pamoja na kumdhibiti mwanaharakati huru, ambaye anawatukana kuwahihaki, na kuwatisha watanzania
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
14,801
2,000
Mhesh Waziri, Wasalaam.

Nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya tokea uteuliwe. Ukweli Wananchi wengi wanaonyesha kukubaliana na Utendaji wako.

Nakuomba pia urejee sherehe ya kuapishwa kwako Ikulu, maagizo uliyopewa na Mhesh Rais pamoja na sababu za kuondolewa mtangulizi wako.

(1)Je hadi sasa ni maagizo mangapi umeyatekeleza?

(2) Je Hadi sasa ni maagizo gani hujatekeleza?

(3) Je wapo watu au zipo mamlaka zozote ndani ya Serikali ambazo ni kikwazo kwako katika utekelezaji wa maagizo uliyopewa na Mhesh Rais?

(4) Je umechukua hatua gani hadi sasa?
Mhesh kumbuka Utekelezaji wa maagizo uliyopewa ndiyo kipimo halisi cha Uteuzi wako machoni kwa aliyekuteua. Nikushauri kwa upitie upya maagizo yote uliyopewa na ujifanyie tathmini binafsi!

*Tunatekeleza*
Kubambikiwa kesi hovyo hovyo bado kupo, watu kuweka Polisi zaidi ya saa 48 pasipo kufikishwa mahakamani kumeshamiri,
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
14,801
2,000
alikuja na kasi na mabendera yake na ilani ya chama akafikiri ndio vitakavyoongoza.

saivi anatishiwa nyau na musiba.
Cyprian Musiba na Le mutuz juzi jana wamekesha kwa sangoma wakimlegezea viungo kange lugola na pia wamekaa vikao vingi kumjadili sana, kusaka mapungufu yake, madhambi yake yote kisha kuyaanika mitandaoni
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
14,801
2,000
Kero kubwa ambayo Kange Lugola kafeli kwa 100% ni Suala wa watu kubambikiwa kesi na pia watu kukaa vituo vya Polisi zaidi ya saa 48 pasipo kufikishwa mahakamani, Polisi wa kiume kuwakata wanawake na mengiineyo mengi ambayo mengine Le mutuz atayaanika mitandaoni
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,860
2,000
Tetesi::
mr. speaker au msema hovyo na mwanaharakati huru jana amechezea kichapo alipokuwa akivikaidi vyombo vyetu vitukufu vya dola,inasemekana kichapo hicho alifanyiwa mbele ya mwandani wake.../ Hakuna kitu mbaya kama kuiweka serekali yotee mfukoni pakooo....!/ mwl. alilipinga sana hili.
 
Top Bottom