Kangi Lugola: Rais sio mchumi hajui mambo ya fedha vizuri, Mawaziri mshaurini vizuri

Hapa itakuwa bado hajaulamba mkopo wa sukari😂😂😂😂so inamaana ule uchunguzi 0.1% iliyobaki ndio imepelekea asipandishwe kwa Pilato???
 
Huwa wanasifia pesa zake ataelewa akiwa nje ya mfumo akiwa pekee yake hakuna tena sifa toka TBC,musiba au bashite hakuna asifiaye bure bila kupata kitu
 
Ningekuwa kiongozi ningewafanya marafiki wote wanikosoao kuliko wanisifiao maana hawa ndio uniona nilivo wakinitakia mema ili nisianguke.Kuliko wanisifiao maana wanasifia pesa yangu
 
Back
Top Bottom