Kangi Lugola, njoo kijana wangu ninakukaribisha Mvumi Dodoma kwa mtemi Mazengo

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,027
930
Ninakuona unakaharufu ka ukombozi,unaweza hamisha kifo cha CCM toka 2014 hadi 2015.

Umevaa roho ya mzee korimba,karoho ka mzee warioba,karoho ka mzee Nyerere,nasema tena unakaroho ka E.M.Sokoine sasa nani ana kuthamini au ni sauti ya mnyonge ipo jangwani ikiambatana na kiu na njaa.

Nasema tena njoo mvumi hapa ndipo nilipo msimika kijana mmoja anaitwa nyerere mwaka 1964,mbele ya Keneth Kaunda,
nikamkabidhi fimbo yangu kuu["sagalandewo"] ya utawala na nikamweka Mwikulu mwa Mazengo Mtemi.

-Mpitie Malechela uje naye lakini mwulize akueleze yeye alijikwaa wapi hadi akaikosa hii 'sagalandewo?'.

Zingatio:
-Uje na dk.W.P. Slaa nimpe mbinu namna atakavyoongoza hawa wanyonge hawa waliojikatia tamaa dhidi ya hawa wala rushwa wa leo wa hiki chama ambacho ni mtoto wa TANU.

Nitakusimika uwe kama sokoine baada ya huyu mwanakaratu kuwa mkulu wa mwikulu wa wakulu.

Nasema tena njoo!njoo kabla hawaja kuimbia kawimbo kabaya huku mioyo yao wakishangilia kukizima kibatari gizani ili tukose nuru.

Ni mimi.
 
Ukifika uliza mwanawachifu chevuliko ubini mazengo,maana nawaona wanamejaa na akili za kutoa sadaka kabla ya misa ya kwanza haijaanza.
Ni mimi.
 
Ninakuona unakaharufu ka ukombozi,unaweza hamisha kifo cha c.c.m toka 2014 hadi 2015.
Umevaa roho ya mzee korimba,karoho ka mzee warioba,karoho ka mzee nyerere,nasema tena unakaroho ka e.m.sokoine sasa nani ana kuthamini au ni sauti ya mnyonge ipo jangwani ikiambatana na kiu na njaa.
Nasema tena njoo mvumi hapa ndipo nilipo msimika kijana mmoja anaitwa nyerere mwaka 1964,mbele ya keneth kaunda,
nikamkabidhi fimbo yangu kuu["sagalandewo"] ya utawala na nikamweka mwikulu mwa mazengo mtemi.
-mpitie malechela uje naye lakini mwulize akueleze yeye alijikwaa wapi hadi akaikosa hii 'sagalandewo?'.
Zingatio:
-uje na dk.w.p. Slaa nimpe mbinu namna atakavyoongoza hawa wanyonge hawa waliojikatia tamaa dhidi ya hawa wala rushwa wa leo wa hiki chama ambacho ni mtoto wa tanu.
Nitakusimika uwe kama sokoine baada ya huyu mwanakaratu kuwa mkulu wa mwikulu wa wakulu.
Nasema tena njoo!njoo kabla hawaja kuimbia kawimbo kabaya huku mioyo yao wakishangilia kukizima kibatari gizani ili tukose nuru.
Ni mimi.
Kwa fasihi uko njema, hongera!
 
kangi lugola ni mfano kwa wabunge wa ccm,anauzalendo na uchungu na tanzania.namuombea aishi miaka mingi
 
kangi lugola ni mfano kwa wabunge wa ccm,anauzalendo na uchungu na tanzania.namuombea aishi miaka mingi

kinachosikitisha ni kuwa,wazima kibatari wamejiandaa vya kutosha na kwa muda mrefu kinachokwamisha ni mababu zake tu,
da! Aisee wanalinda kibatari kwa nguvu na akili zao zote.
Ni mimi.
 
Back
Top Bottom