Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,322
- 13,629
Viva Chadema.Jimbo la Chadema hilo. Hakuna Sijui Musiba, Msiba wala mkata mauno..
Viva Chadema.Jimbo la Chadema hilo. Hakuna Sijui Musiba, Msiba wala mkata mauno..
Wewe ni mpuuzi sana,isikilize tena ile hotuba. Unaelewa ukishapoteza uadilifu adhabu zake ni nini?Ila hakumuambia asihudhurie bungeni Wala asigombee tena
Ficha unyumbu wakoWewe ni mpuuzi sana,isikilize tena ile hotuba. Unaelewa ukishapoteza uadilifu adhabu zake ni nini?
Chamani hatukutaki hata kukusikia. Ile kauli ya rais tu, asingewakuta pale ilikuwa ni agizo kwa vyombo vya usalama viwabebe pale pale wakawekwe segerea huko.
UfisadiAtwambie ni kwanini mh rais alimwambia kuwa hata hakutakiwa kuudhuria kikao chake pale siku amemtimua kazi
Asisahau kukata mauno kwenye kampeni...
Anamaanisha Musiba ni miongoni mwa wahuni hao? Maana analimendea Jimbo yule...View attachment 1481565
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge mwaka huu" Kangi Lugola, Mbunge wa jimbo la Mwibara.
Ufisadi
Wacha wagonjwa wanyang'anyane dawaAnamaanisha Musiba ni miongoni mwa wahuni hao? Maana analimendea Jimbo yule...
Mwanafunzi wa yesu atakatwa kabla hata jogoo hajawika
Kwenda kugombea nenda Ila kuchaguliwa au kupewa Kura za wananchi sahau.chagua kazi nyingi au kachunge mbuzi.upolisi ulisha staafu,ubunge miaka kumi inakutosha, Sasa achana na siasa kalime au kachunge mbuzi. Bado ukumbuki zali la 1 trillion ulilosaini .CCM ikikupitisha kugombea Jimbo la mwibara nitavua nguo hadharani hapo ni kosa kisheria.View attachment 1481565
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge mwaka huu" Kangi Lugola, Mbunge wa jimbo la Mwibara.
Lugola endelea na ubunge. UmnawezaKumekucha
Kumekucha
Naona Sasa Mpaka Ufie Kwenye Harakati
Changamoto Kwa Vijana
Jitokezeni Mzee Aangushwe