Uchaguzi 2020 Kangi Lugola: Nina makosa gani hadi nisigombee Ubunge?

Ila hakumuambia asihudhurie bungeni Wala asigombee tena
Wewe ni mpuuzi sana,isikilize tena ile hotuba. Unaelewa ukishapoteza uadilifu adhabu zake ni nini?

Chamani hatukutaki hata kukusikia. Ile kauli ya rais tu, asingewakuta pale ilikuwa ni agizo kwa vyombo vya usalama viwabebe pale pale wakawekwe segerea huko.
 
Ficha unyumbu wako
 
Asisahau kukata mauno kwenye kampeni...
tapatalk_1592048500925.jpg
 
View attachment 1481565
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge mwaka huu" Kangi Lugola, Mbunge wa jimbo la Mwibara.
Anamaanisha Musiba ni miongoni mwa wahuni hao? Maana analimendea Jimbo yule...
 
hata hiyo miaka 10 waliompa walibugi sana, jitu kuubwa halafu hewa kbs kichwani.
huyu anatakiwa akatafute bendi ya muziki awe mnenguaji...ndiko anakostahili!.
 
View attachment 1481565
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke? Nimewaambia sina makosa.
.
"Sasa wale wahuni wanasema niondolewe, sina makosa, nitagombea ubunge mwaka huu" Kangi Lugola, Mbunge wa jimbo la Mwibara.
Kwenda kugombea nenda Ila kuchaguliwa au kupewa Kura za wananchi sahau.chagua kazi nyingi au kachunge mbuzi.upolisi ulisha staafu,ubunge miaka kumi inakutosha, Sasa achana na siasa kalime au kachunge mbuzi. Bado ukumbuki zali la 1 trillion ulilosaini .CCM ikikupitisha kugombea Jimbo la mwibara nitavua nguo hadharani hapo ni kosa kisheria.
 
Ndani ya CCM Tanganyika sioni zaidi ya Kangi Lugola . Muda mwafaka Lugola kuchukua fomu za kugombea urais leo leo..Kangi for president.
 
1: waziri kukata mauno mbele ya kadamnasi
2: kumuita jiwe yesu

Sheria inasema mgombea ubunge ajue kusoma na kuandika ila asiwe na matatizo ya akili. Hayo mambo mawili hapo juu yalithibitisha wewe kuwa na matatizo ya akili so automatically sheria inakutoa kwenye kinyang'anyiro.
Tayari una mtaji kafanye uvuvi ziwa Victoria
 
Back
Top Bottom