Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 50
- 532
Na Thadei Ole Mushi.
Huu ni utaalamu hauhitaji mtu avue nguo, tunahitaji utetezi wa kitaalamu.
UTAALAMU UNASEMAJE?. Ili uingize ku import mzigo wowote bandarini lazima uwe na Document zifuatazo kutoka kwa shipper/exporter BILL OF LADING, CERTIFICATE OF ORIGIN, SALES INVOICE, EXPORT PERMIT, INSPECTION CERTIFICATE, PACKING LIST n.k.
Lakin mizigo kama pamba, katani, sigara, tumbaku, nguo n.k zimekuwa classfied as dangerous cargo chin ya IMO- IMDG Code. (waweza kugoogle kujiridhisha. Nguo ziko code no 9.5. Hata upakiaji ndan ya mel lazima container zikae juu ya zingine na lazima zitenganishwe.
Baada ya containers kufika katika nchi husika na kabla ya kupakuliwa na kama zina ulazima wa kubaki ndan ya container basi isiwe zaid ya 90 to 120 days na containers must be stored in a condition that do not exceed 23 centgrade with a relatively humidity 55%. Hivyo kwa hali ya tz ni ngumu sana nguo kukaa ndan ya containers zaid ya mwaka zikavaliwa tena.
#Swali la pili ni who is owner of the empties containers? namaanisha containers zenyewe tofaut na kilichomo ndani. Je mali ni ya supplier, jesh la police au shipping line? kama ni mali ya supplier amewezaje kuacha containers zake pala kwa kipind chote hicho? kama ni za shipping line zimewezaji kukaa pale kwa miaka yote hiyo na ni nani analipia container demurrage zaid ya $1200 kwa mwezi per container? kama ni mali ya police je mzabuni alizichukua zikiwa empties aka zi export nje then zikapakia mzigo na kurud? je anayo empties bill of lading ya kuship out hizo empties? we call it HOUSE/HOUSE BILL OF LADING.
TUKATAE UBABAISHAJI.
Watanzania sio wajinga kwa kiwango hicho na hatuna shaka na Uprofesa wa CAG..... Tusimwachie CAG huu ulinzi wa Fedha zetu, yeye kashika Gobore sisi kwa usomi wetu tumsadie kwenye Kuwaumbua hawa wanasiasa.
Hatuhitaji kuona watu wakitembea Uchi nchi hii, hatuhitaji uwaziri wa Mh Lugola, tinachohitaji ni Documents. Data kwa data, facts na utaalamu.
#Kataa ubabaishaji, wenye akili wote tusimame na CAG.
Ole Mushi.
0712702602