EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,559
- 12,682
Umejenga hoja vizuri,ila kuna sehemu hujaeleweka umeitaja chadema kipumbavu
Hahahaaa,yawezekana ukawa sahihi,lakini unamaanisha kwamba hata Mh.rais naye ni Chadema na ndiyo maana akamtumbua huyu mtenda haki?Nenda Lugola nenda Lugola, sisi wanyonge tunakulilia.
Siku zote nabii hakubaliki kwao na ukitaka kuchukiwa sana basi simamia haki, Lugola alikuwa ni moja ya mawaziri makini waliosimamia haki Wizara ya Mambo ya Ndani.
Siri ya Lugola kuchukiwa na askari hadi kufikia hatua ya kushangilia alipotumbuliwa hizi hapa.
1. Kangi Lugola alikuwa waziri wa kwanza wa mambo ya ndani kufyeka kichaka cha rushwa kwenye magari ,ikumbukwe kabla ya Lugola kila kosa kwenye gari lilikuwa linatozwa shs 30,000!
Yaani gari haina indicator elfu 30
Gari halina rangi elfu 30
Tairi imeenda upande elfu 30
Yaani trafiki alikuwa na uwezo wa kukusome makosa 10x30,000 =300,000 hiyo anaondoka nayo asubuhi asubuhi tu!
Lugola aliamuru makosa yote hayo yako chini ya kosa moja tu la ubovu wa gari na mwenye gari anatakiwa alipe elfu 30 tu badala ya laki 3! Kwa hali hii askari wala rushwa (Chadema) watampenda Lugola?
2. Kabla ya Lugola ilikuwa ukiwekwa mahabusu weekend hutoki kwa sababu hamna dhamana, lakini waziri huyu shujaa alikuja kuamuru dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili!
Je kwa hali hii Polisi watapenda?
3. Ni Waziri shujaa Kangi Lugola aliamuru bodaboda zote ziondolewe kwenye vituo vya Polisi. Kumbukeni bodaboda zilikuwa zinarudikwa kwenye vituo vya polisi hadi kituo chenyewe kinakuwa hakionekani. Lengo la kitendo hiki ni kutengeneza mazingira ya rushwa na ufisadi ili askari wapige dili.
Kwa hali hii wanyonge watamchukia Lugola?
4. Kabla ya Lugola mabasi ilikuwa ni marufuku kuendelea na safari baada ya saa sita usiku. Hali hii ilileta usumbufu na gharama kubwa kwa abiria na kwenda kinyume na Sera ya viwanda na uchumi wa kati.
Lugola alifyeka kichaka hiki kwa kuwaambia askari wakae sawa magari yatembee usiku kucha na wananchi hawawezi kupangiwa muda wa kusafiri na majambazi.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
5. Chini ya Waziri Lugola matukio ya utekaji, mauaji na ujambazi yalipungua sana nchini. Wote ni mashahidi wa hili muda wote mabasi yamesafiri usiku kucha hamna basi hata moja lililotekwa.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
Nenda Lugola ila huenda kilichokuponza pia ni kuwa upande wa maslahi ya wananchi sana na kupuuza kulea rushwa za maaskari tulizozizoea tangu uhuru, lakini wahenga walisema tenda wema uende zako usingoje shukrani ila uwe na hakika Lugola siku ya kiama utavishwa taji na wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndugu yako hakuna kitu.Nenda Lugola nenda Lugola, sisi wanyonge tunakulilia.

Ulaji rushwa wao ndiyo ungewafanya wamnase kibaoHuyu ndugu yako hakuna kitu.
Alikuwa anataka kujifanya Amiri Jeshi.Mh.Rais kamsaidia sana kwa kumtumbua maana alipokuwa anaelekea kuna siku Makamanda wangemnasa Vibao hadharani.
Makamanda wana utaratibu wao wa kukosolewa.Hata mh.Rais alidokeza kwamba "huwezi kumtukana Brigedia hadharani".
Aliyemteua kabaini Lugola ameshiriki ufisadi we unalizungumziaje hili?Nenda Lugola nenda Lugola, sisi wanyonge tunakulilia.
Siku zote nabii hakubaliki kwao na ukitaka kuchukiwa sana basi simamia haki, Lugola alikuwa ni moja ya mawaziri makini waliosimamia haki Wizara ya Mambo ya Ndani.
Siri ya Lugola kuchukiwa na askari hadi kufikia hatua ya kushangilia alipotumbuliwa hizi hapa.
1. Kangi Lugola alikuwa waziri wa kwanza wa mambo ya ndani kufyeka kichaka cha rushwa kwenye magari ,ikumbukwe kabla ya Lugola kila kosa kwenye gari lilikuwa linatozwa shs 30,000!
Yaani gari haina indicator elfu 30
Gari halina rangi elfu 30
Tairi imeenda upande elfu 30
Yaani trafiki alikuwa na uwezo wa kukusome makosa 10x30,000 =300,000 hiyo anaondoka nayo asubuhi asubuhi tu!
Lugola aliamuru makosa yote hayo yako chini ya kosa moja tu la ubovu wa gari na mwenye gari anatakiwa alipe elfu 30 tu badala ya laki 3! Kwa hali hii askari wala rushwa (Chadema) watampenda Lugola?
2. Kabla ya Lugola ilikuwa ukiwekwa mahabusu weekend hutoki kwa sababu hamna dhamana, lakini waziri huyu shujaa alikuja kuamuru dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili!
Je kwa hali hii Polisi watapenda?
3. Ni Waziri shujaa Kangi Lugola aliamuru bodaboda zote ziondolewe kwenye vituo vya Polisi. Kumbukeni bodaboda zilikuwa zinarudikwa kwenye vituo vya polisi hadi kituo chenyewe kinakuwa hakionekani. Lengo la kitendo hiki ni kutengeneza mazingira ya rushwa na ufisadi ili askari wapige dili.
Kwa hali hii wanyonge watamchukia Lugola?
4. Kabla ya Lugola mabasi ilikuwa ni marufuku kuendelea na safari baada ya saa sita usiku. Hali hii ilileta usumbufu na gharama kubwa kwa abiria na kwenda kinyume na Sera ya viwanda na uchumi wa kati.
Lugola alifyeka kichaka hiki kwa kuwaambia askari wakae sawa magari yatembee usiku kucha na wananchi hawawezi kupangiwa muda wa kusafiri na majambazi.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
5. Chini ya Waziri Lugola matukio ya utekaji, mauaji na ujambazi yalipungua sana nchini. Wote ni mashahidi wa hili muda wote mabasi yamesafiri usiku kucha hamna basi hata moja lililotekwa.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
Nenda Lugola ila huenda kilichokuponza pia ni kuwa upande wa maslahi ya wananchi sana na kupuuza kulea rushwa za maaskari tulizozizoea tangu uhuru, lakini wahenga walisema tenda wema uende zako usingoje shukrani ila uwe na hakika Lugola siku ya kiama utavishwa taji na wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukatai awajibishwe ila ana mazuri yake lazima yasemwe.Aliyemteua kabaini Lugola ameshiriki ufisadi we unalizungumziaje hili?
Mamlaka iliyomteua inamjua kuliko sisi tunaoona anatusaidia, kumbuka kabla hajateuliwa walimjua, baada ya kumteua wamemfatilia wamebaini hafai na wamemtengua sasa we ulitakaje?
Kuna matukio mengi ya watu kutekwa kupotea we unazungumziaje hili?
Kuna mambo mengi ya hovyo we hukuyaona pia? Kudhalilisha wateule wenzake we unaonaje hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namna yoyote ya kumkosoa mla rushwa zaidi ya kumuweka hadharani , safi sana Lugola kwa kuwanyoosha makamanda.Makamanda wana utaratibu wao wa kukosolewa.Hata mh.Rais alidokeza kwamba "huwezi kumtukana Brigedia hadharani".
Yeye alikuwa haelewi hili au alikuwa anataka Makamanda wamtii kuliko wanavyomtii Amiri Jeshi Mkuu.
Nina imani angekuwa Wizara ya Ulinzi asingemaliza hata Mwezi Mmoja.
Kangi ndio alikuwa anataka kuwapiga Watanzania Trilioni.Sasa yupo chini ya Makamanda kwa uchunguzi.Hamna namna yoyote ya kumkosoa mla rushwa zaidi ya kumuweka hadharani , safi sana Lugola kwa kuwanyoosha makamanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiita mnyonge na kupigwa fine ni vitu viwili tofauti, jiite mnyonge wewe, familia yako pamoja na jiwe.Lakini hata wewe gari yako ilishapigwa makosa kibao na kila kosa elfu 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo nishasema mapema! Ipo cku Lugola tutamkumbuka, nanilishatoa mda wa mwezi mmoja. Vituo vya police vitajaa tena mahabusu, pikipiki, baiskeli za mkaa, nk
Hata bungeni keshawahi kuchunguzwa kwa rushwaMawaziri wengi wametumbuliwa lkn hawakuchukuliwa hatua za kisheria.
Iweje huyu TAKUKURU wamchunguze!
Inasikitisha sana.
Unforgetable
Yes, huo ni upande wa mazuri. Yameondoa sana kero!Nenda Lugola nenda Lugola, sisi wanyonge tunakulilia.
Siku zote nabii hakubaliki kwao na ukitaka kuchukiwa sana basi simamia haki, Lugola alikuwa ni moja ya mawaziri makini waliosimamia haki Wizara ya Mambo ya Ndani.
Siri ya Lugola kuchukiwa na askari hadi kufikia hatua ya kushangilia alipotumbuliwa hizi hapa.
1. Kangi Lugola alikuwa waziri wa kwanza wa mambo ya ndani kufyeka kichaka cha rushwa kwenye magari ,ikumbukwe kabla ya Lugola kila kosa kwenye gari lilikuwa linatozwa shs 30,000!
Yaani gari haina indicator elfu 30
Gari halina rangi elfu 30
Tairi imeenda upande elfu 30
Yaani trafiki alikuwa na uwezo wa kukusome makosa 10x30,000 =300,000 hiyo anaondoka nayo asubuhi asubuhi tu!
Lugola aliamuru makosa yote hayo yako chini ya kosa moja tu la ubovu wa gari na mwenye gari anatakiwa alipe elfu 30 tu badala ya laki 3! Kwa hali hii askari wala rushwa (Chadema) watampenda Lugola?
2. Kabla ya Lugola ilikuwa ukiwekwa mahabusu weekend hutoki kwa sababu hamna dhamana, lakini waziri huyu shujaa alikuja kuamuru dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili!
Je kwa hali hii Polisi watapenda?
3. Ni Waziri shujaa Kangi Lugola aliamuru bodaboda zote ziondolewe kwenye vituo vya Polisi. Kumbukeni bodaboda zilikuwa zinarudikwa kwenye vituo vya polisi hadi kituo chenyewe kinakuwa hakionekani. Lengo la kitendo hiki ni kutengeneza mazingira ya rushwa na ufisadi ili askari wapige dili.
Kwa hali hii wanyonge watamchukia Lugola?
4. Kabla ya Lugola mabasi ilikuwa ni marufuku kuendelea na safari baada ya saa sita usiku. Hali hii ilileta usumbufu na gharama kubwa kwa abiria na kwenda kinyume na Sera ya viwanda na uchumi wa kati.
Lugola alifyeka kichaka hiki kwa kuwaambia askari wakae sawa magari yatembee usiku kucha na wananchi hawawezi kupangiwa muda wa kusafiri na majambazi.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
5. Chini ya Waziri Lugola matukio ya utekaji, mauaji na ujambazi yalipungua sana nchini. Wote ni mashahidi wa hili muda wote mabasi yamesafiri usiku kucha hamna basi hata moja lililotekwa.
Kwa hili wanyonge watamchukia Lugola?
Nenda Lugola ila huenda kilichokuponza pia ni kuwa upande wa maslahi ya wananchi sana na kupuuza kulea rushwa za maaskari tulizozizoea tangu uhuru, lakini wahenga walisema tenda wema uende zako usingoje shukrani ila uwe na hakika Lugola siku ya kiama utavishwa taji na wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Chadema imekujaje hapo?Hatukatai awajibishwe ila ana mazuri yake lazima yasemwe.
Tatizo chadema hawataki hata kuyasema mazuri ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya takukuru mimi naiunga mkono! Maana najua hakuna pesa ya serikari iliyoliwa! Mimi Kuhusu takukuru naunga mkono 100% ili wamsafishe make najua lugora hajawa fara kiasi hicho. Lowasa alisafishwa na chadema nahuyu nae takukuru acha wafanye kazi yao ili abaki mweupe.Mawaziri wengi wametumbuliwa lkn hawakuchukuliwa hatua za kisheria.
Iweje huyu TAKUKURU wamchunguze!
Inasikitisha sana.
Unforgetable
Unaizungumziaje serikali ya wanyonge na rais wa wanyongeMnyonge siyo mtu fukara bali ni mtu ASIYEJITAMBUA.
Kwa mfano Chadema ni chama cha matajiri kwa mujibu wa katiba yao lakini wasiojitambua......kwahiyo wale ni WANYONGE tu!