Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

CAG anasema alienda mpk huko bandarini kutafuta bill of lading lkn hakuna evidence alipata ya hayo makontena yenye sare kufika.

Then mzee baba nae sijaelewa anachobisha ni nini sasa.
 
Aendelee kupiga kelele hivyo hivyp aone anavyodharirika zaidi.wasichokijua kuhusu hoja za ukaguzi.zilikuwa ni nyingi sana sema report ingekuwa kubwa sana.hizo zilizopo ni.zile zenye ushahidi usio na chembe ya udhaifu.

Shauri yao kama ndiyo.Bob Ndugai amewadanganya kwa kuropoka ropolka kama hivyo.yajayo yanafurahisha
 
Kama magufuli hatamchukulia hatua Lugola basi jiwe ndiye anayewatuma kumharass CAG
 
Baada ya spika kusema kwamba Zitto anawadanganya wananchi kuhusu report ya CAG eti siyo kila kitu ni cha kweli, naona wameanza kuibuka.
Ni watu wa ajabu sana naona yale mambo yamewaumiza kupita wengi wetu tunavyofikiri. Sasa CAG huwawekea kila jambo na maelezo yake sijui kwa nini na wao wsasiwe specific kuwa CAG kakosea hili na ukweli uko hivi-wao wanavulumuka tu CAG ni muongo au siyo kila kitu anachosema CAG ni kweli 100%. CAG kafanya kazi yake ni juu yao kuonyesha wapi CAG kakosea na viambatanishi sio biashara ya jumla jumla.
 
Waziri lugora tuambie tangu mwaka Jana hizo sare ziko kwenye mankotena kwa ajili ya nini?.

Tukisema kuwa mlinunua sare bila ya kuwa na matumizi nazo tutakuwa wrong?

Report ya ciajii ni ya mwaka Jana, sare hadi sasa ziko kwenye makontena ni jambo linaloleta ukakasi.

Labda watu wenye akili nyingi waje watuaeleze juu ya kauli ya lugora.
Kangi ni comedian kama kina Okechu Okechu au Brother K wa FUTUHI.
 
Waziri lugora tuambie tangu mwaka Jana hizo sare ziko kwenye mankotena kwa ajili ya nini?.

Tukisema kuwa mlinunua sare bila ya kuwa na matumizi nazo tutakuwa wrong?

Report ya ciajii ni ya mwaka Jana, sare hadi sasa ziko kwenye makontena ni jambo linaloleta ukakasi.

Labda watu wenye akili nyingi waje watuaeleze juu ya kauli ya lugora.
Zilikuwa zinapigwa pasi na dobi TRA
 
Waziri lugora tuambie tangu mwaka Jana hizo sare ziko kwenye mankotena kwa ajili ya nini?.

Tukisema kuwa mlinunua sare bila ya kuwa na matumizi nazo tutakuwa wrong?

Report ya ciajii ni ya mwaka Jana, sare hadi sasa ziko kwenye makontena ni jambo linaloleta ukakasi.

Labda watu wenye akili nyingi waje watuaeleze juu ya kauli ya lugora.
Inawezekana sare zimekimbizana na ripoti ya CAG.... wakati ripoti ikitimua mbio kuelekea BUNGENI, huku sare nazo zilikuwa zinatimulishwa mbio kutoka kiwandani kuja Tanzania
 
Huyu jamaa nae hajitambui, na nafikiri hata hii repoti kuna sehem inamgusa. Wakati anapewa shavu la Uwaziri hoja yale moja kubwa ilikuwa ni ku deal na Lugumi, Cha kushangaza kwa sasa yeye ndiyo inakuwa kituko na ni kama vile amewekwa mfukoni.
Taasisi yetu ya Kupambana na rushwa ingekuwa inaanza na hawahawa viongozi wetu, yaani kauli zao huwa zinatia mashaka muda wote na kuwepo na viashiria vya rushwa,
 
Ukitaka kujua kinachotukwamisha waTZ angalia mfano wa huyu

Muuliza swali karaise hoja vizuri kabisa kuwa hakuna ushahidi wewe unajibu kwa kupayuka na kupiga bla bla

Tuna tatizo sehemu
 
Huna ethics za uongozi wewe.....

C.a.g unamwita muongo???c.a.g hakugui sare anakagua mahesabu wewe ni waziri mzigo wa utawala wa awamu ya tano

Malalamiko kuhusu sare za polisi yameanza toka mwaka jana report ya 1.5 ilivyoanza ulikaa kimyaaa hukujibu chochote....eti leo unajitokeza live unaanza kujitetea tutaaaminije?????How can we trust you?!?tutajuaje umenunua kuficha ushahidi??,maana it has been almost one year toka hii issue imelalamilkiwa ukaamua kukaa kimya

Kwanza huna maadili ya uongozi kabisa waziri wa mambo ya ndani unasema "utavua nguo"??waziri nzima unatamka hivyo duuuh aibu

Naona aibu mimi kuwa na waziri kama huyu

Sasa kabla hujatekeleza azma yako ya kusema utavua nguo bora ujiuzulu

Tupo na c.a.g wananchi tunamwamini ndo mtetezi wetu aliyebaki....

Bora ujiuzulu tu hufai hata chembe kuwa kiongozi wewe

Utawala huu umetushinda tabia kwa kweli

MODS HUU UZI UNAJITEGEMEA MSIUUNGANISHE PLEASE
Kangi uwezo wake ni mdogo sana
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lugola amesema hakuna mtu muongo kama CAG na kwamba yupo tayari kuweka uwaziri wake rehani, ikiwa itabainika kuwa taarifa zake za ukaguzi kuhusu sare hewa za jeshi la polisi zilizogharimu Sh16bilioni ni ya kweli.

MY TAKE:

Tunaomba msimdhuru CAG wetu Assad wala kumsumbua. Tunataka mbishane kwa hoja sio Vitisho. Msanii wa Bongo Fleva Roma Mkatoriki aliimba "WEKA SILAHA CHINI TUBISHANE KWA HOJA".

Kwa hili Swala naomba Lugola na Polisi wako muwe wapole kama mnanyolewa.

Kumbuka: Mwigulu Nchemba alijaribu kimshambulia Assad akaondoka kwenye uwaziri akamuacha Assad anadunda. Assad ni kitukuu cha mtume.
............
Waziri Lugola aliuweka rehani uwaziri wake huo, wakati akijibu hoja za Wabunge alipokuwa akihitimisha mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2019/2020 ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Amesema sare hizo ziko katika makontena

Back
Top Bottom