Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

CAG awatizame kwa makini wale viazi anaowatuma kufanya ukaguzi, ni vichwa ngumu kwelikweli, wakiamua kukomalia jambo hata uwape vielelezo vyote bado watang'ang'ana tu. Mwisho wa siku watu wanaamua kutokubishana nao, wanawaacha waandike utumbo wao kisha wakati ukifika audit queries zote zinakua cleared na kamati.
Kama TRA wenyewe wanalalamika kuwa EFD receipt wajanaja wanafoji, iweje na hili la Lugola kwamba alijafuata mkondo huohuo?
 
CAG awatizame kwa makini wale viazi anaowatuma kufanya ukaguzi, ni vichwa ngumu kwelikweli, wakiamua kukomalia jambo hata uwape vielelezo vyote bado watang'ang'ana tu. Mwisho wa siku watu wanaamua kutokubishana nao, wanawaacha waandike utumbo wao kisha wakati ukifika audit queries zote zinakua cleared na kamati.
Qerry Zinakuwa cleared na kamati za bunge dhaifu. Ok, wananchi tumeisha wajua michezo yenu.
 
Yaani askari hawana sare, na wengine wanadiriki kujishonea sare kwa mafundi kwa hela zao kumbe zipo zimetunzwa kwenye makontena?
Akili za aina hii anaweza kuunga mkono mjinga mwenzao na sidhani kama kuna Polisi atasapoti upumbavu huu labda maafisa ambao wamenufaika na ubabaishaji huu.
Unanunua unifomu za shule za watoto wako halafu unatunza kabatini watoto wanakwenda na nguo zilizochanika? BABA WA AINA HIYO NI Zuzu.
 
CAG awatizame kwa makini wale viazi anaowatuma kufanya ukaguzi, ni vichwa ngumu kwelikweli, wakiamua kukomalia jambo hata uwape vielelezo vyote bado watang'ang'ana tu. Mwisho wa siku watu wanaamua kutokubishana nao, wanawaacha waandike utumbo wao kisha wakati ukifika audit queries zote zinakua cleared na kamati.
Hivi kwa maneno hayo si KANGI amepigiwa makofi lukuki na wenzake?
 
Baada ya spika kusema kwamba Zitto anawadanganya wananchi kuhusu report ya CAG eti siyo kila kitu ni cha kweli, naona wameanza kuibuka.
Eti CAG Ni muongo..!!!
1. Hivi hadi ripoti inakuwa public huwa hawaioni?

2. Wakati ukaguzi unafanyika huwa wanakuwa wapi kutoa taarifa kama hizi?

3. Audit quierie huwa hawazibu?

4. Kikatiba, CAG anaipeleka ripoti kwa raisi. Bungeni inapelekwa na raisi. Na raisi kuipeleka bungeni maana yake imeshakuwa ripoti yake kuangalia watendaji wake wanafanya nini.... SASA LUGOLA ANAPOSEMA CAGNI MUONGO, HAONI KUWA ANAMHUSISHA RAISI KWENYE UONGO?
Ngali K.
 
Hiyo ni planned mkuu, na hizo kejeli zina baraka kutoka kwenye ule muhimili uliojichimbia chini zaidi.
 
Huyu Bw toka kapewa nafasi ya kupigiwa saluti na wale aliokuwa anawapigia amehehuka. Yaani full kuropoka hadi kinyaa.
 
Yaani askari hawana sare, na wengine wanadiriki kujishonea sare kwa mafundi kwa hela zao kumbe zipo zimetunzwa kwenye makontena?
Akili za aina hii anaweza kuunga mkono mjinga mwenzao na sidhani kama kuna Polisi atasapoti upumbavu huu labda maafisa ambao wamenufaika na ubabaishaji huu.
Unanunua unifomu za shule za watoto wako halafu unatunza kabatini watoto wanakwenda na nguo zilizochanika? BABA WA AINA HIYO NI Zuzu.
CAG anataka documents,hakuna hata store hakuna document inayoonyesha mzigo umepokelewa.Bandarini hakuna TRA hakuna huenda lugola ataonyesha nguo zilizochakaa zikarejeshwa store
 
Aache kudanganya uma hizo sare ni oda imeingia juzi cag yeye anasema za inteck ilopita ambayo hadi alokuwa waziri wa mambo ndani kutumbuliwa
 
Waziri lugora tuambie tangu mwaka Jana hizo sare ziko kwenye mankotena kwa ajili ya nini?.

Tukisema kuwa mlinunua sare bila ya kuwa na matumizi nazo tutakuwa wrong?

Report ya ciajii ni ya mwaka Jana, sare hadi sasa ziko kwenye makontena ni jambo linaloleta ukakasi.

Labda watu wenye akili nyingi waje watuaeleze juu ya kauli ya lugora.
 
wanataka ziliwe na panya
 
Back
Top Bottom