Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

Penye ukweli, uongo hujitenga.

You can fool some people for some time, you can even fool some people all the time, but you can't fool all the people all the time.
 
Wapigaji siku zote huwa wana maneno mengi sana kuweka viraka kwenye masuti yake na kujifanya yupo na ilani ya chama chake muda wote kumbe anagagadua tuu rasilimani za nchi watu kama hawa ikithibitika ndio qanastahili kuwa segerea
 
Naamini huko aliko anajuta, anaona bora angekubaliana na Prof Assad kuwa kweli kuna ubadhirifu kuliko yanayokwenda kumkuta sasa hivi.

Assad kwa kiswahili ni Simba (Lion).

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 
Back
Top Bottom