Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

nadhan bwana kangi ni mkweli kwani kama sare za polisi zingekuwa hazikununuliwa tusingewaona askari wetu wakiwa wanapendeza namna hii
 
CCM is a crime syndicate,Most members & MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.Vote CCM at your own risk
 
Jamani msameheni Kangi. Sio kwamba anapenda hilo jambo analolifanya ila, kuutetea ugali wako lazima utumie kila nyenzo. Hata kutishia kuvua nguo zote uonyeshe maungo yako kama ni kamili nayo ni mbinu. Nnani atathubutu kumwangalia Kangi akiwa uchi?? B/up sana Kangi kuonesha ushujaa wa uongo wako
 
Back
Top Bottom