kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,078
- 10,379
Mkuu video haionekani
Gileke gifukilwe endalamaMbombo ngafu? Au Mbepe ndiyo kali zaidi!!
Yaani kwa kusema kuwa CAG ni mwongo mkubwa "indirect" pia amesema na Bosi wake aliyemyemteua naye kwa kuyatamka hayo aliyoyatamka kuwa naye ni Mwongo!Hapo Lugola kamtukana sana Magufuli, siyo CAG tu.
Mbepe ni kinyume cha ngafu😀😀Mbombo ngafu? Au Mbepe ndiyo kali zaidi!!
Kinyungu huyu ndiyo kanichanganya kabisaa!!Gileke gifukilwe endalama
Kwa hiyo nawe unaungana na Kangi Lugola katika kusema kuwa CAG na Jiwe ni waongo wakubwa??nadhan bwana kangi ni mkweli kwani kama sare za polisi zingekuwa hazikununuliwa tusingewaona askari wetu wakiwa wanapendeza namna hii
Kwa maelezo ya Kangi ni kuwa bado zipo kwenye makontena sasa wanapendezaje wakati hazijafika mikononi mwa askari?nadhan bwana kangi ni mkweli kwani kama sare za polisi zingekuwa hazikununuliwa tusingewaona askari wetu wakiwa wanapendeza namna hii