Elections 2015 Kangi Lugola atwanga mtu ngumi

Kamani amesingizia watu kex nakufugwa hivyo sasa huyo ni mbunge tulimtuma kutengeza makundi kwa vijana ama nini hasa me kitu alicho nikera kingine kupigwa watu mabomu bila sababu kisa watu wanaenda kichagua viongozi wao wanaowataka sasa mpaka sasa hawana viongozi maendeleo yamesimama hayaedi maana viongozi wao walio taka wapite hawawezi kualika watu na kuongea nao
 
baada ya kusau majukumu yao jimboni, sasa joto la mabadiliko limepanda.

viongoz wa ccm, waache ubabe wa madaraka.
 
Mwambieni aache masumbwi siasani bali ayalete huku Railway. Kitu raundi 12 tu kisha anakatiwa posho zake anasogeza maisha. Mwenzie kajifanya mwanamasumbwi kamshushia mtu masumbwi sasa hivi ni marehemu tayari. Anasubiri charges za first degree murder
 
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.

Mwaka huu tutaona mengi!

Hii sasa imekuwa kawaida ndani ya chama pendwa. Maana Naibu Spika na yeye leo kaua mgombea mwenzake.

Kazi ndo inaanza.
 
Hii sasa imekuwa kawaida ndani ya chama pendwa. Maana Naibu Spika na yeye leo kaua mgombea mwenzake.

Kazi ndo inaanza.

Hii ya ndugai ilikuwa tetesi je imeshathibitishwa? Kama ni kweli laana imeingia ccm sasa kwa uwazi kabisa
 
Huko kwa Lusinde nako mi mtifuano wa kufa mtu matusibkwa kwenda mbele mpk ametishiwa kutolewa kwenye ligi ya kuomba ubunge kupiti chama chake......CCM mwaka huu ni balaa.
 
Back
Top Bottom