Kangi Lugola Alphaxard, Mhe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kangi Lugola Alphaxard, Mhe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kintiku, Jul 27, 2012.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Wadau,
  Mhe. huyo amekuwa mojawapo ya wabunge ambao wamekuwa wazungumzaji sana ndani na nje ya Bunge.

  Nimejaribu sana kufuatilia michango yake kuelewa msimamo wake hasa lakini nimeshindwa kumuelewa anasimamia nini?.

  Naona yeye ni kama Zantel- Twanga kokote....nahisi pia alishakuwa kuwa au ni Mchungaji wa makanisa ya Kipentecoste maana flow yake ni kama ya mtu ambaye huwa anasimama madhabahuni kuhubiri.

  Halafu nikiangalia katika Televisheni huwa nashindwa kuelewa huwa amesimama au sijui anakaaje anapochangia michango yake. Lugola wewe ni vuguvugu Bwana atakutapika
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Lugola namuona yupo close na Deo Filikunjombe nadhani na yeye kama Deo tu jembe hilo!
   
 3. D

  Determine JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni miongoni mwa wabunge wenye afadhali waliobaki ccm
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ni mbunge wa jimbo gani?
   
 5. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Ni mbunge wa jimbo la Mwibara
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Askari mstaafu,,AMEOKOKA.
   
 7. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  La kutapikwa na bwana tumwachie bwana mwenyewe.ila lugola ni miongoni mwa wabunge wachache wazuri walioko ccm.
   
 8. B

  BMT JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  nilitaka kugombea jimbo la mwibara,lakni hakuna haja tayari jembe letu kangi ndege lugola anatosha kutuongoza tena kwa mwaka 2015 kama atakwenda na moto huo huo,
   
 9. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kangi Lugola a.k.a Nati ya Kirumi namkubali siyo mnafiki.Ni mojawapo ya majembe ya mkoa wa Mara. Mkoa wa Mara kuna vichwa eti eh!
   
 10. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2016
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mhh sijui bado tumwachie Bwana wa Majeshi au Pilato (mahakama)?
   
 11. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2016
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 18,157
  Likes Received: 36,909
  Trophy Points: 280
  Kwa nini ameanza kuomba rushwa, haya ngoja tuichie mahakama
   
 12. P

  PACHOTO JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2016
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Wenyewe wanasema ameokoka
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2016
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Zamani hii
   
 14. D

  DOMBWELA JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2016
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 233
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kangi Lugola mimi kabla sija pata kumfahamu nilifili bonge la mzalendo, kumbe jamaa ni mganga njaa tu, kelele za bure hana uzalendo wowote ndani yake!.
   
 15. maramia

  maramia JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2016
  Joined: Jul 17, 2015
  Messages: 1,902
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hata mie katika awamu yake ya kwanza bungeni nilidhani ni pande la mpapule, mzalendo wa kweli hasa alipokuwa akiingia bungeni na marundo ya vitabu, magazeti, akivaa kininja n.k

  Katika awamu hii ndio nimegundua Lugora ni bonge la bomu na mpenda mlungula wa nguvu.

  Nashangaa sana kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge, si wamfukuze au kanuni za bunge na sheria za kawaida zinasemaje kuhusu mbunge kufikishwa mahakamani.
   
 16. Mkendo

  Mkendo JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2016
  Joined: Oct 14, 2013
  Messages: 2,016
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  Hii Kashfa ya Juzi ya Kuomba Rushwa imempunguzia haiba yake Kisiasa.
   
 17. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2016
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  huyu ni comedian zaidi
   
 18. cantonna

  cantonna JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2016
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 1,108
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Kweli bhana....naye si mla rushwa!!
   
 19. Mwasita Moja

  Mwasita Moja JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2016
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 2,908
  Likes Received: 2,548
  Trophy Points: 280
  Lugola na Lisu, Msigwa ,Mbowe, Msigwa kazi kupayuka , hawana chembe ya uzalendo ,kwao kupayuka ndio jambo la maana sana
   
Loading...