Kanga moko ndembe ndembe!

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako based pale continental lakini nahisi balaa! mwanamke mwenye khanga moja iliyoloa ndembe ndembe, mume wangu nitarudi naye kweli?

Kingine, watanzania tumekuwa na tabia ya kulinda maadili.... swala la khanga moja linanitisha... naomba mnijuze.
 
Kama kweli una hamu ya kuyafahamu hayuo mambo Mwaya kwa nini ususbiri mume akupeleke? Na, huyo mume wako ni muaminifu kweli? Mana unaonyesha hofu kubwa juu yake
 
Sitaki kujiaminisha yale yanikute nife na pressure.

Sasa nitakwendaje bila yeye, nitaaga nakwenda wapi? bado hujanigawia hata kidogo!
 
ni kanga moja ndembe ndembe sio mbwende mbwende

Mimi hapo nimetoka kappa_hebu bebii rudi utoe ufafanuzi,..wengine tunaishi huku kigoma mwisho wa reli na haya mambo hatuyajui
 
Wala huna haja ya kwenda continental club, haya mambo unawezafanya mwenyewe hapo nyumbani ukiwa na mumeo faragha ukamuhamasisha mwenyewe, ya nini kwenda kuangalia vitu ambavyo unaviweza mwenyewe na huenda unavifanya kila siku? Labda kama wewe "BETINA" na siyo "ZENA"
 
Ukitaka kuanza tabia ya kumpa mme wako tigo,,nenda kajifunze huo uhuni.

Mkuu sidhani kama ina uhusiano na huo mtandao " Kwani hata mkeo akitoka hapo master bed room bafuni kajipiga kanga moja iliyolowa ndembe ndembe" ni kile kile tu
 
Wala huna haja ya kwenda continental club, haya mambo unawezafanya mwenyewe hapo nyumbani ukiwa na mumeo faragha ukamuhamasisha mwenyewe, ya nini kwenda kuangalia vitu ambavyo unaviweza mwenyewe na huenda unavifanya kila siku? Labda kama wewe "BETINA" na siyo "ZENA"

Asante kwa ushauri! lakini bado hujanisaidia, swali langu la msingi. nataka kujua ni kitu gani? Labda ninaweza kuyafanya, lakini si hadi niyajue!
 
Ukitaka kuanza tabia ya kumpa mme wako tigo,,nenda kajifunze huo uhuni.

Jamani watz wagumu sisi!! Mbona unanzidi kunichanganya? Mkuu, jibu swali langu basi, badala ya kunichanganya zaidi. Labda ungejibu swali kwanza ndio unipe ushauri!
 
Dada hawa Kanga moko(sio moja) wanapatikana Continental hotel-mjini kila jumatano na jumanne wanakuwepo Masai club-karibu na Mango garden. Show yao inaanza saa 7 usiku.Usitishwe na mtu hayo mambo ya Tigo ni tabia ya mtu nenda uone wenzako wanavyokatika ili uboreshe kwako. Usiwe na wasiwasi nenda na mumeo hata wengine huja nao,si uko pembeni abiria ukichunga mzigo wako ?
 
Aseeee!
Makalio yaliovalishwa kanga moko ilolowa, makalio ambayo hayajavalishwa chupi.
Makalio yanayoonyesha ushirikiano na kiuno.

saaa 7 kweli haya mambo ni wito haaaaa!
 
Aseeee!
Makalio yaliovalishwa kanga moko ilolowa, makalio ambayo hayajavalishwa chupi.
Makalio yanayoonyesha ushirikiano na kiuno.
Mbona hukusema toka mwanzo mumemsumbua dada wa watu toka saa nne mpaka kaondoka zake maskini.
 
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako based pale continental lakini nahisi balaa! mwanamke mwenye khanga moja iliyoloa ndembe ndembe, mume wangu nitarudi naye kweli?

Kingine, watanzania tumekuwa na tabia ya kulinda maadili.... swala la khanga moja linanitisha... naomba mnijuze.

Nenda nae ukifika pale unamfunga shati kwenye kitenge chako asicholopoke
 
Dada hawa Kanga moko(sio moja) wanapatikana Continental hotel-mjini kila jumatano na jumanne wanakuwepo Masai club-karibu na Mango garden. Show yao inaanza saa 7 usiku.Usitishwe na mtu hayo mambo ya Tigo ni tabia ya mtu nenda uone wenzako wanavyokatika ili uboreshe kwako. Usiwe na wasiwasi nenda na mumeo hata wengine huja nao,si uko pembeni abiria ukichunga mzigo wako ?

Akaangalie chupa inavyo ingia kwenye tiGo karibia nusu chupa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom