Kanga imeokoa maisha ya watu waliokuwa kwenye treni

°Kwanza ilikuwa na rangi nyekundu kumaanisha warning au hatari.

° ilitandazwa km 20 kutoka eneo ambalo reli ilikuwa mbovu so bila hivo treni ingeenda bila kujua hatari iliyopo mbele so ajali ingekuwa kubwa na kupoteza uhai mkubwa wa watu.

Nb huyo mama ni shujaa
Sasa kilichookoa maisha ya hao watu ni huyo mama au kanga??
 
Back
Top Bottom