Kanga, chakula na kofia zinawafanya watanzania kuchagua viongozi wa ovyo ovyo - Jenerali Ulimwengu

Mkuu,nakubaliana na wewe. Watanzania wengi ni vilaza sana. Ila hawakubali ukweli,wako radhi wasifiwe kwa unafiki kuliko kuambiwa ukweli!
 
Mchambuz wa mahiri wa masuala ya kisiasa na kiuchumi Mzee Jenerali Ulimwengu amesema kuwa kila baada ya miaka mitano watanzania hupewa pilao, kofia, tisheti na kanga hivyo kuendelea kuchagua viongozi wa hovyo hovyo waliolifikisha taifa hapa lilipo

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU

Lakini huyu naye si alikuwa "MMOJA WAO"? na kabla ya 2015 atawakana MAGAMBA mara tatu.
 
Hatua ya kuliuza Gazeti la Rai na Mtanzania ilikuwa ni Hatua ya kumnyamazisha Jenerali kuanika uozo unaoendelea hapa nchini.. Jenerali is the most powerful intelligent political activist I know..
 
Kuuza gazati la RAI si hoja ya msingi hapa> Raia Mwama huisomi ...Jenerali amesema kweli..
 
J Ulimwengu amesema sahihi? Kama ndiyo, naunga mkono kwamba watanzania ambao bado wanawachagua wana CCM ili waendelee kushikilia uongozi wa nchi hii na kula rushwa zaidi, basi hao ni vilaza haswa!
 
Ni kuwafundisha watanzania, kula hizo hela halafu kuwatosa, sisi bodaboda tuazila sana lakini kura hatuwapi ng'oooo.
 
Msiogope,Mungu anasema uwe na Moyo jasiri na mwenye moyo wa ushujaa, maana wewe ndiye utakaowaokoa watu wangu kutoka utumwani misri kwenda kwenye nchi ya ahadi" Safari hii jamani kula sishiem kulala Chadema. Peoplesssssssssssssssss..............................peoplesssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom