Kandahar; Afghanstan: Zaidi ya watu 32 wamekufa katika msikiti wa Bibi Fatima baada ya watu 3 kujilipua mabomu msikitini hapo

Sasa Kama mpaka Somalia kwenye vita na ugaidi wana FURAHA isiwe kwetu kusiko na hayo?!!!

Hizo DATA ziko biased.....

Yaani nchi iliyojaa mabishano ya SIMBA NA YANGA isiwe na furaha ?!!mmmh
Tena usiongee hadharani. Huko Bongo watu wanachuki zao mioyoni,usione wako Kimya na manyanyaso yao,siku wakisema Basi hiyo AMANI na Utulivu utaisikia kwenye Bomba. Ndio maana wakiulizwa kwenye utafiti wanasema hawana Furaha(Kwa maana wana wachungu na Visasi lakini wanakosa pa kuvipeleka). One day utakuja kunielewa kwanini Bongo iko Nyuma ya Somalia na Libya kwa Furaha licha ya kuwa na AMANI ta Utulivu.
 
Utakuwa unaizungumzia "bongo" ya kufikirika na si hii halisi......
 
Tena usiongee hadharani. Huko Bongo watu wanachuki zao mioyoni,usione wako Kimya na manyanyaso yao,siku wakisema Basi hiyo AMANI na Utulivu utaisikia kwenye Bomba. Ndio maana wakiulizwa kwenye utafiti wanasema hawana Furaha(Kwa maana wana wachungu na Visasi lakini wanakosa pa kuvipeleka). One day utakuja kunielewa kwanini Bongo iko Nyuma ya Somalia na Libya kwa Furaha licha ya kuwa na AMANI ta Utulivu.
Chuki unayowewe aisee, mimi hapa nashukuru Mwenyezi Mungu nimezaliwa Tanzania. Sina Shida na siasa zao hazinipi ugali mezani.
Kuishi nchi ya Afghanistan nadhani ningeshakimbia nchi siwezi siwezi
 
Nilisikiliza uchambuzi wa Dwswahili kipindi furani kuhusu hili. Walisema hivi;

ISS-K Ina misimamo mikali ya Dini ya Kiislam kuliko Taliban. ISS-K inataka Sio tu Afghanstan iwe chini ya Sharia za Kiislam Bali dunia nzima.

Kitendo Cha Taliban kutafuta suluhu na kutambulika kimataifa limewakera ISS-K. Na kuwa uwezekano hata Ndani ya Taliban kwenyewe kukatokea Mgawanyiko,Wale wenye Msimamo Mkali wakajiunga na ISS-K baada ya kuona Taliban haiwezi kufuata Misingi mikali ya Sharia za Kiislam.
duh awajamaa awajielew
 
Wameamua kuuana..!!
Wananajisi Hadi misikiti yao!!
Hii kaliba ya wapi inajitafuna hadi yenyewe,nijuavyo Mungu huwa hatetewi bali huwa anajitetea hawa wanakwama wapi..?
Yani unaenda kukitetea kile kilichoumba dunia,nyota na kila kitu...!!

Aisee pole kwa wafiwa na majeruhi
Ndugu wakipigana...,..
 
Chuki unayowewe aisee, mimi hapa nashukuru Mwenyezi Mungu nimezaliwa Tanzania. Sina Shida na siasa zao hazinipi ugali mezani.
Kuishi nchi ya Afghanistan nadhani ningeshakimbia nchi siwezi siwezi
Nyie si ndio tabaka la baba zenu wana vyeo ndani ya CCM? Mnatumbua Mali za taifa peke yenu huku mkiliacha kundi kubwa la Wananchi wakibaki Masikini wa kutupwa? Unawezaje kuwa na Chuki Sasa? Subiri Mambo yakigeuka ndio utajua kwanini Furaha haipo licha ya uwepo wa AMANI na Utulivu ndani ya Tanzania.
 
Mkuu toka kwenye Mawazo haya kwamba "umaskini wako utaondolewa na mtu" Hakuna mtu yoyote atakayekutoa kwenye umaskini isipokuwa ni wewe mwenyewe. Acha chuki na malalamiko anza kufanya kazi kwa bidii na umaskini utakuachia.
Hakuna mwanasiasa popote pale duniani atayekuwekea pesa kwenye mfuko sana sana wanachofanya ni kutengeneza fursa na wewe kazi yako ni kuifwata hiyo fursa
 
Mwanasiasa hawezi kukufanya uwe tajiri au Masikini? Acha ukilaza wewe,Hakuna mafanikio ya kiuchumi yatakayopatikana kwa mwananchi wa Hali ya chini Kama Mazingira ya Kujitafutia kipato Ni duni kutokana na ukiritimba wa CCM.

Unafikili Ni kwanini Ni Rahisi mtu hata asiye na Elimu kutengeneza Pesa ya Kutosha Akiwa USA kuliko Tanzania? Siasa Safi au Chafu Ina mchango Mkubwa wa kudidimiza juhudi binafsi za mtu kuelekea kwenye Mafanikio yake.

Nyie ambao baba zenu wana hisa kwenye Makampuni ya Umma ndio mnajidanganya na kuwapotosha watu eti waachane na wanasiasa badala yake wapige kazi tu pa na kujua siasa za chuki na ubinafsi za nchi hi chini ya CCM ndio zimedidimiza maendeleo ya mamilioni ya Watanzania walio wengi. PATHETIC.
 
Nikuache tu na huu ujinga, kama unafikiri ukiwa USA unatengeneza pesa kirahisi sawa.
Huko USA usipobeba box kwa bidii pesa utaiona kwa wenzako
 
Muisilamu wakweli hawezi kuuwa watu waco na hatia, awe muisilamu ama asie muisilamu wotee haifai.
وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَنْ قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِفْ فِي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا

Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.

Kuna nchi inaitwa OMAN, watu wake ni wakarimu mno naweza sema moja ya nchi iliyojaaliwa upendo amani na imani, yenye watu wakarimu, wanaheshimu madhehebu ya wengine, huwezi kuta wanamtukana au kumkashifu shia, sunni n.k., tofauti na nchi zingine za kiarabu,,hata huku Tanzania kuna dhehebu moja linajinadi mitandaoni na misikitini na kujiona wako sahihi na kukashifu madhehebu mengine. Huu ni upumbafu kabisa.
 
Suala la kujiuliza ni kwanini waislam wa nchi nyingi hawajifunzi kutoka huko Oman?!!!

That is the issue....
 
Nyie si ndio tabaka la baba zenu wana vyeo ndani ya CCM? Mnatumbua Mali za taifa peke yenu huku mkiliacha kundi kubwa la Wananchi wakibaki Masikini wa kutupwa? Unawezaje kuwa na Chuki Sasa? Subiri Mambo yakigeuka ndio utajua kwanini Furaha haipo licha ya uwepo wa AMANI na Utulivu ndani ya Tanzania.
Wewe nadhani huishi Tanzania. Upo huko kwenye nchi za magaidi ukipanga kuja kuanzisha vurugu ukifikiri watanzania tutakuunga mkono kwa kuichoka serikali. Jilete tu kitakachokukuta hutosahau.
 
Rais Vlamir Putin amesema kuwa kutokana na Intelijensia ya Urusi,Wapiganaji wa ISS-K wapatao 2000 wamejikusanya Katika Jimbo la KANDAHAR ambapo ndio Mji ambao kundi la TALIBAN liliasisiwa hapo na MULLAH OMARY. Putin amayasema hayo wakati wa kuandaa mkutano utakaozikutanisha nchi zilizokuwa chini ya Muungano wa Kisoviet ambao TALIBAN wamekubali kushiriki ili kutafuta Maafikiano.
Warusi washajipenyeza huko kitambo.
 
Kandahal na kunduzi.

Taliban watafute suluhu na iss-k otherwise hawatokaa salama.
Ngumu sana.......hao Isis wanatakiwa wafyekwe tu kama wenzao wa huko Syria na Iraq.

Kumbuka itikadi yao (Isis) ndio tatizo kwani inawaona Washia kama makafiri hivyo inabidii wauawe.

..ni ngumu kufanya mapatano na mtu mwenye itikadi inayomtaka akuue.
 
Back
Top Bottom