Kanda ya Ziwa kukosa University/Higher Learning Inst. vya Serikali ni Sawa???/


spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
2,858
Likes
1,465
Points
280
spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
2,858 1,465 280
GreaTtHinkerS!!!
  • Nimeangalia Kusini nikaona MBEYA kuna chuo MIST kinatoa degree.
  • Nimetazama kanda ya kati hasa Dom naona UDOM,Chuo cha Mipango,CBE, Chuo cha maMdini nacho kinakuja.
  • Ukienda Mashariki Moro Kuna SUA, Mzumbe; Dar kuna UDSM,DUCE,CBE,IFM nk
  • Nimetathimini kaskazini naona kuna IAA-Arusha, MUCCOBs-Moshi na vingine vingine viko njiani
  • Nyanda za juu kusini Iringa haya Mkwawa kipo
  • Nilipoangaza Tabora, Shinyanga, Mwanza,Mara,Geita na Simiyu sijaona chochote; CBE pale Mwanza wana Kituo kidogo kinachotoa Japo Diploma-Waulizeni je hakuna wanafunzi? hata hao wa Diploma chuo kinamudu????
  1. Je ni kweli kwamba maeneo haya chuo hakiwezekani kujengwa? Kwamba labda Ardhi na hali ya hewa ya huko labda haiko sawa kwa elimu ya juu??
  2. Kwamba labda kule watu hawapendi kusoma au hawahtaji kuwa na University? Je watu wa wapi waliojaa ktk University zetu leo hii? Hiyo Gharama ya nauli si wangetumia kuongezea ada vyuoni kwa nini kisijengwe pale kanda ya ziwa???
Karibuni wa JF, GreaT Thinkers and Discuss!!!:laser::A S-confused1:
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,406
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,406 280
Mwanza kuna Bugando, Kuna SAUTI, na Bokuba pia kuna chuo kikuu sikukumbuki
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,230
Likes
7,043
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,230 7,043 280
Huu ukanda,udini kweli utatumaliza
 
M

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Messages
596
Likes
4
Points
0
M

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2010
596 4 0
nchi yetu ni kubwa, naamini tunakwenda hatua kwa hatua. tunapaswa sasa kukazania kuimarisha shule za msingi na sekondari na elimu ya msingi na kati inavyozidi kupanua ndivyo na ya juu itapanuka.

rejea sera ya elimu kila kitu kiko wazi hakuna upendeleo
 

Forum statistics

Threads 1,237,587
Members 475,561
Posts 29,294,135